Maisha ya peke yako

Hapo kuna kadhaa..

1. Taken but not living together. Hii nayo unakuwa huru kiasi chake...

2. Single with no any one. Hii unakuwa very lonely sad na depressed. Yani giza likiingia tu unaanza mafeelings...

3. Open relationship. Hii nayo ipo kama upo single vile lakini upo makini sana.

4. Friends with benefit. No stresa.. Full kijiachia kwa roho safi no hard feelings..
 
Ya 3 nimeielewa sana
 
Hayo upande mmoja..bado upande wa pili...usiwadanganye wenzio kuwaaminisha u peke yako ni safi zaidi
 
Nusu saa missed call kumi
Ulikua umegeuzwa malikia
Co mchezo jamaa alikua ameoza


Lakin wanawake mkichukia
Hamkos kijisabsbu cha kuvunja mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…