Shida ilianzia pale tulipoipa umuhimu.Wanaume mnateseka, mbona nyuzi za kunyimwa papuchi zimekuwa nyingi!!! [emoji23][emoji23]
[emoji28]Tungeona hiyo sms inasemaje ndo tungejua cha kushauri.
Sms inayosema "Aziza asante kwa show ya jana mpenzi" si sawa na inayosema
"Mwanangu mdogo akifikisha miaka mitatu tu namrudisha mama ake kwao kisha nakuoa wewe Aziza mwanamke wa ndoto zangu".
Shida ilianzia pale tulipoipa umuhimu.
Kama ni kweli kamkosea aombe msamaha akiri.Asipomsikiliza atafute wachungaji wa Kanisani awapatanishe ikishindikana asijihangaishe aendelee na mambo yake.Rafiki yako/wewe aseme kamfanyaje mkewe tujue kwanza.
Mke hawezi tu kufanya hivyo bila sababu
Ndugu yangu ushauri wako aliufuata ulimsaidia kutatua tatizo kwani alipomfuata kulala siku ya kwanza kesho yake mwenyewe akarudi chumbaniMambo yasiwe mengi beba shuka nawewe ingia huko huko kwa watoto utakuja nipa ushuhuda [emoji23][emoji23][emoji23]
Unasema kweli? Maana hata watoto itakuwa walikuwa wanawashangaa wazazi nakujiuliza Baba na Mama wanaogopa chumbani kwao?[emoji1][emoji1][emoji1]Ndugu yangu ushauri wako aliufuata ulimsaidia kutatua tatizo kwani alipomfuata kulala siku ya kwanza kesho yake mwenyewe akarudi chumbani
Kwa hiyo wewe ungeumia kwa ipi kati ya izo mbili 🤣🤣🤣🤣Tungeona hiyo sms inasemaje ndo tungejua cha kushauri.
Sms inayosema "Aziza asante kwa show ya jana mpenzi" si sawa na inayosema
"Mwanangu mdogo akifikisha miaka mitatu tu namrudisha mama ake kwao kisha nakuoa wewe Aziza mwanamke wa ndoto zangu".