maisha ya ndoa mwaka 2015

maisha ya ndoa mwaka 2015

marwan

New Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
3
Reaction score
0
253787_437653079655473_678895313_n.jpg

nani mwongo zaidi kati ya hawa wana ndoa>>:A S 39:??
 
Wote waongo zaidi maana hakuna kipimo cha kupima uongo.
Hakuna hata afadhali wote waongo kwisha kazi. Lakini aliyesingizia kanisani kama kakoleza zaidi kidogo afadhali polisi imepoa kidogo.
 
Mbona 2015 ni mbali sana haya yanajitokeza hivi sasa mitaani
 
Hahahaha hiyo inaitwa if you will do me I will do you fair game haha kaaazi ipo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom