Maisha ya mwanaume

Maisha ya mwanaume

Lakini pamoja na hayo bado tuna nafasi ya kuendelea kupata vitu vya asili..ingawa sasa ukionekana unakula hvyo wanakuona kama mshamba......
Bonge moja la ushauri na ndio suluhisho sahihi kwa maoni yangu!
 
Walikua wanachapiwa pia, tena ki roho safi kabisa na inawezekana kwa makubaliano fulani... kama vile kupata mtoto nk!
kama kupata mtoto ni ishu nyingine....ni kwamba hawezi kupata mtoto na si kwamba mtalimbo umelala doroo
 
Machache ye anauwezo wa kupanga ale nini ili aishi ki asilia, chochote anachotaka kula katika muda sahihi anapata, sasa sie tusio na machaguo, yaani kama ni bagger ni hilo hilo au broiler au chips ndo utaishia kwenye cycle hiyo tu hamna jinsi!
Kumbuka picha haijasema kuwa huwezi kuzaa!!! Bali ile pulling ya picha #1 na #2 hutakuwa nazo!!!....mzee natumaini atakuwa kwenye picha inayomuhusu.
 
Kumbuka picha haijasema kuwa huwezi kuzaa!!! Bali ile pulling ya picha #1 na #2 hutakuwa nazo!!!....mzee natumaini atakuwa kwenye picha inayomuhusu.
Mzee kwenye pulling vyakula pia vinahusika pakubwa tu!
 
....tuseme wife wake ndo anajua anaangukia wapi kwenye hizo picha,....ila ukiwa na pesa unaweza ukaambiwa uko on fire kuuumbe........I think you know what I mean.
Nimekusoma kaka!
 
Ila mkuu hii naona ni 'life trend of a male' na sio 'life cycle...' kwa kuwa huwezi kurudia ulipopita...
 
Mind you... hata katoto kachanga ka masaa katafikia picha ya sita kakijaaliwa uzima... uzee ni lazima... ni zawadi ya Mola... na sio 'mwisho chalinze...' sisemi kwa kuwa ni mzee ila najua nitakuwa kwa majaaliwa ya Mola!
 
Back
Top Bottom