Mkwaha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 1,734
- 3,284
Yani Unaibariki Huku Roho Inakuuma Au Sio!!Yeah unaibariki na kuipa heshima zote kwa mkono wako.
Yani Unaibariki Huku Roho Inakuuma Au Sio!!Yeah unaibariki na kuipa heshima zote kwa mkono wako.
Lakini pamoja na hayo bado tuna nafasi ya kuendelea kupata vitu vya asili..ingawa sasa ukionekana unakula hvyo wanakuona kama mshamba......Wazee Wazamani Hawakuwa Na Tatizo Hili Kwasababu Walikuwa Wanaishi Kwenye Mazingira Salama Kuazia Vyakula Vyao,Vinywaji, Madawa Nk. Tofauti Na Sisi Ambao % Kubwa Tunatumia Vitu Vyenye Kemikali Zinazopelekea Kutokea Kwa Tatizo Hili.
Me Nadhani Kwa Walio Vijijini Hilo Halina Tatizo Sana Ila Issue Ipo Kwa Waishio Mjini.Lakini pamoja na hayo bado tuna nafasi ya kuendelea kupata vitu vya asili..ingawa sasa ukionekana unakula hvyo wanakuona kama mshamba......
Mkuu wewe ndio basi tena u can't turn the clock back..Wengine tupo 50's lakini bado tupo picha ya kwanza.
Picha namba moja.Mkuu wewe ndio basi tena u can't turn the clock back..
Ngoja nile ujana na picha namba moja
Hamna jinsi!Duh!! Harafu Mwisho Wa Siku Unaishia Tu Kuweka Mkono Juu Ya "K".
Daah ila ajitahidi iwe siri yake!Na ukifika mwisho kuchapiwa ni given kama Mtoto anadai bado
Tujitahidi kuishi ki asili!unatushauri nini twende chaputa ama...
Kama ni kweli mshukuru mungu!Wengine tupo 50's lakini bado tupo picha ya kwanza.
Hiyo sina labda wadau wengine hapa jamvini mwenyenayo atupie tu ... ruksa!Tudondoshee na ya 'FEMALE LIFE CYCLE'...
Sijui wataukimbia ukweli mpaka wapi?Ndio Maana Kuna Baazi Ya Watu Ukiwaita Wazee Wanagoma Itakuwa Hichi Ndicho Wanachoogopa.
Nasijui kama yupo anaweza kukuvumilia asitafute mechi za kirafiki nje?Tatizo Sasa Linakuja Pale Mamaa Anapohitaji Game Wakati Wewe Uwezo Huna.
Msanii katika sanaa hii ametuonyesha uhalisia wa hili tendo jinsi umri unavyo kwenda na sio kuwa anachochea ngono, yakupasa kukubaliana na hilo na kujiandaa kisaikolojia kama bado upo hatua za nyuma!hiyo picha isichochee uzinzi kuongezeka
Machache ye anauwezo wa kupanga ale nini ili aishi ki asilia, chochote anachotaka kula katika muda sahihi anapata, sasa sie tusio na machaguo, yaani kama ni bagger ni hilo hilo au broiler au chips ndo utaishia kwenye cycle hiyo tu hamna jinsi!Si kweli......
Mzee mwenzangu machache mbona bado ana mudu kukimbia mbio ndefu na vijana....na nishani tunaziona....
Tubadilike mkuu... tuachane na ugali wa sembe na vips daily!Maaaaaniniaaaa [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Yaaa yaweza kupungusa some stress!NDO MAANA MTUME ALIAMUA KUOA MTU MZIMA, ATA MIMI NAONA KUNA HAJA YA KUOA MSICHANA ALIENIZIDI UMRI ILI NIKIZEEKA NA YEYE AWE MZEE ASIETAMANIKA