Ocran
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,045
- 1,384
Maisha ya mwanaume duniani bila hela ni sawa na jehanamu.
Mimi sijui kwa wengine, lakini kuishi duniani kwa mwanaume bila hela hata upendwe vipi na mwanamke mwenye pesa, kuna mateso ya kiume lazima uyapate. Unless kama huna ego ya mwanaume. Lakini kama ni mwanaume kabisa.....na unaishi na mke, au girlfriend anakulisha ...kuna maumivu makali sana. Mara kumi uwe peke yako.
Una mke na watoto halafu , huna hela?
Utaisoma namba.
Wale wanaosema mwanaume mashine halafu huna hela hawajaelewa mchezo hapa. Hawajui maumivu ya kulelewa hawa.
Jambo wasilo lifahamu ni kwamba wengi wanaona mwanamke ni kiumbe mwaminifu asiyeteteleka.
Hakuna mwanamke mwaminifu kama watoto wake awapendao hawana ada ya shule, wagonjwa na wapo hatarini kupoteza maisha na hakuna dawa, wanalala njaa wala hakuna kodi ya nyumba.
Au mwanamke ana deni linalomnyima usingizi halafu wewe unakuja na kusema mwanaume mashine.
Mwanaume mashine??? Halafu huna hela wewe unajipenda kweli????
Wanawake wenzake wanamcheka na haoni matumaini yoyote ya kutatua tatizo lake halafu wewe unaleta umashine wako.
Are you serious wewe???
Tafuta hela. Hiyo ya mashine unaweza ukatatua kwa njia mbadala. Tafuta hela.
Sikia nikuambie kuna pointi ambayo mwanamke huvumilia na kusema basi. Mwanamke anaweza kutafuta yeyote hata kama ana sura ya nyani asaidie wanae
Ukiwa mwanaume tafuta hela. Ukiamka asubuhi tafuta hela. Ukiwa usiku tafuta hela. Usidanganyike na mashine, hizo ni maneno tu.
Simama uonyeshe uwepo wako. Kama unaona huwezi kaa pembeni. Pambana.
Mara kumi usioe kama huwezi hata kujilea mwenyewe
Eti unajaza vifua. Ee???
Kama huna hela dunia utaiona chungu.
Ukikutana na mwanaume ambaye hana hela na anaishi kwa mgongo wa mwanamke comfortable kabisa na wala hatafuti njia ya kutokea....ndugu yangu huyo mwanaume anaumwa.