Serious?![emoji15]naomba kazi ya aina yoyote Ile ndugu nimekwama huku tz
waganga wa jadi Mnakimbia TZ JPM kabana......wateja wamepungua.Asante kiongozi..ninaenda kuwekeza kwenye sekta ya afya..Lusaka patanifaa? Vipi kuhusu gharama za ofisi na utaratibu wa vibali vya biashara?
Hongereni sana kiongozi
Sasa mkuu nijiandae na capital kama ya tshs ngapi kuanzia?Misasa Zambia wananunua sana nguo kutoka Tanzaniana SA na kodi kwao kuingiza mzigo ipo kidogo sana hizo nguo za kkoo pale zinatembea sana pamoja na urembo mimi nishawahi kufanya hiyo soko la kamwala kwa sasa ninawasafirishia na kununua mizigo kutoka SA.,mzambia ananunua nguo kila akipata mshahara awe mama au dada biashara ipo kitwe,Solwezi na Lusaka..mzunguko wa biashara upo tofauti kubwa na Tanzania na hakuna mambo ya kukamatana ukishalipa kodi yao hiyo ila nyumba ndio zipo ghari kuliko Tanzania..,
Mkuu naomba uwe mwenyeji wangu uko na unisaidie kutafuta fursa nzuri ya kuanza nayo uko tafadhariSisi kama family tumewekeza saana zambia sehemu inaitwa MONGU nimbali. Kutoka LUSAKA.nikatika HOTEL,APARTMENT na sasa tuna karbia kufungua nyingine LUSAKA ni mpya kabisaaa.zambia pesa iko mingi sana.ndio kwanza wanaanza kujanjarka kwa mbaliiiii saaana.mwezi wa 11 pia tunataka kwenda southern SUDAN kucheki fulsa pia.
Hii ni moja wapo ya HOTEL yetu.kama family.
ndioSerious?![emoji15]
kweli ndugu nimekwamaSerious?![emoji15]
NimekuPM tayarikweli ndugu nimekwama
Asante kiongozi...usafiri wa kwenda tete unapatikana wapi kutokea Tanzania?Policia wa mozambicano wanapenda hela xana hasa hao wa hiyo wilaya ushauri wangu bora uende tete ndo kunabiashara na kuna watanzani wengi kutoka mbeya na mwanza na shinyanga lakin mtepweshi kuna wasukuma pekee na wanageria afu saiv kule dolla imepanda kwahiyo utasumbuka sana kuhusu change
Jee wadangaji wanaruhusiwa?? au ni Ngada tuu??mateja yote ilala yanapajua mtipweshi kama....sina cha kutolea mfano.
Mtipweshi au montepuez ni mji uliopo kaskazini mwa nchi ya msumbiji...unasifika kwa kuwa na biashara kubwa ya madini ya ruby..Wengine hiyo Mtipweshi ndio unatutajia wewe kuwa kuna sehemu inaitwa hivo,sasa hebu tuweke sawa hiyo sehemu ni jiji au kamji na unaweza kukafananisha na jiji/mji gani kwa TZ ............ Lakini pia si vibaya ukituambia ni lugha gani inatumika huko .......??
Vipi gharama za maisha zikoje hapo Lusaka? I mean gharama ya Kodi ya nyumba. Gesti..gharama za ofisi nakadhalikakwa ushauri nenda Lusaka, Zambia kuna soko kabisa kwa ajili ya wageni Commesa pale hakuna usumbufu na bidhaa za kutoka Tanzania na SA zinauzika sana pale mzunguko wa pesa upo huko msumbiji mchanga wa chuma tuu...ila kama unataka kutembea tuu nenda....
OK mkuu..polisi wanaosumbua ni wa mpakani au hata wa ndani? Funguka zaidi bro watu wajifunze..wengi tunatamani kwenda msumbiji kujaribu bahati hukoHela baba wanapenda rushwa kupita maelezo.
Labda kama umekamilika kila kitu
Mimi nilikuwa naendaga kimagendo kwenda kutapeli ruby
Na kununua ruby.