Bufa JF-Expert Member Mar 31, 2012 10,656 21,079 Jun 11, 2012 #123 Allien mapicha again.. Maisha ya uswazi kwere sana aisee
mwaJ JF-Expert Member Sep 27, 2007 4,074 2,947 Jun 11, 2012 #124 Allien said: Click to expand... Duh! Kuna mazingira yanasisimua na kutisha kuishi. Hebu fikiria kila siku unaamka asubuhi unakutana na hali kama hiyo. Tena hapo mvua haijanyesha.
Allien said: Click to expand... Duh! Kuna mazingira yanasisimua na kutisha kuishi. Hebu fikiria kila siku unaamka asubuhi unakutana na hali kama hiyo. Tena hapo mvua haijanyesha.
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,288 Jun 12, 2012 #125 Hajhahaaaa nimecheka mpaka nukta
Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Jun 12, 2012 #126 Allien said: Click to expand... Huyu lazima atakuwa mtaalamu wao kwa jinsi anavyoonekana