Maisha ya kuigiza !!!

This spring si unakuja kunitembelea? Nimehamia kwa mtogole ndo kuna mansion ina parking all my 7 cars zinaenea.
Mansion kwa Mtogole..!!!?? mdanganye Bishanga sio mimi
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni maisha yetu ya kawaida kama binadamu

Kudanganya, kupuuza mambo nk, na siku zinaenda mbele.
 
umeonaeee, kuna professor wangu mmoja aliwahi kusema within 48 hours minimum of 100 words yanakua ya uongo in every complete man kama si kwa kutamka basi kwa kufikiri au kuona tu mtu anakua anajidanganya...lol
 
Thus way mimi nimekuambia kuwa hiyo ni normal life style kwa binadamu na maisha yanasonga mbele, ingawa kiukweli huo ni uongo ambao haupaswi kuigwa hata kidogo maana kwa mkutadha huo tunaiharibu jamii na tunamkosea Mungu pia kwa kusema uongo.

Ukichagua kuwa muongo daima na ikawa ndio life style kwako hakika hii ni hatari sana kwako mwenyewe maana hata pale ambapo hukuhitaji kudanganya wewe utadanganya na kujidanganya pia hadi kufikia hata kujidhuru wewe binafsi kutokana na madhara ya uongo wako.
 
Wasemavyo "sisi wenyewe tunajinasibu DANGANYIKA" whta do you expect?
 
He he he, kumbe ile mansion ni yako??

Mi kangu ni kale kenye orofa 2 tu pale popobawa

This spring si unakuja kunitembelea? Nimehamia kwa mtogole ndo kuna mansion ina parking all my 7 cars zinaenea.
 
Wee, chezeiya Tandale wewe, tuna ma-mansion hadi mobile shopping Malls.
Ukivuka Makanya kabla hujafika Tandale kwa Tumbo upande wa kulia huoni hilo Mansion yanapaki Ma-BMW, Masidizi na V10 tu?

Mansion kwa Mtogole..!!!?? mdanganye Bishanga sio mimi
 
duu huyu wa samakisamaki ndio kafunika mbaya ndio picc ya wiki ni noumer mazee...
 
This spring si unakuja kunitembelea? Nimehamia kwa mtogole ndo kuna mansion ina parking all my 7 cars zinaenea.

Natarajia nigombee mwenyekiti wa mtaa hapo, nitakupa vijana wakulindie...
 
umeonaeee, kuna professor wangu mmoja aliwahi kusema within 48 hours minimum of 100 words yanakua ya uongo in every complete man kama si kwa kutamka basi kwa kufikiri au kuona tu mtu anakua anajidanganya...lol
atakuwa professor wa vyuo vya kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…