NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,805
- 637
Bros and sists,
Hope mko poa kbs,
Naomba leo tujikumbushe siku za mwanzo vyuoni hasa HOSTEL, mimi nilijiunga na chuo cha UDSM nikitokea mmamndenyi na ucha Mungu wangu na kupangwa pale MABIBO Hostel Block D gorofa ya 2. Nilifurahi sana kujiunga na masomo ya Elimu ya juu na kubahatika kukutana na cream ya nchi nzima, nilikuwa na shauku kubwa ya kujua roommates wangu na kutenegeneza marafiki wapya.
Hali haikuwa kama nilivyotarajia hasa kwenye chumba changu, nilipangwa na watoto wa mujini waliokuwa wanazijua starehe na anasa za dunia. Mimi nilikuwa na poketi money yangu elfu kumi navaa soksi naingiza ndani nafunga raba bendi juu ili isiibwe kwani boom lilikuwa halijatoka na hata Bank a/c nilikuwa sina. Wenzetu walikuwa wanafweza hadi kukodi tax kwenda main campus. Nilipangwa kitanda cha juu kwa vile vya chini vilikuwa vimewahiwa tayari. Nili report siku ya ijumaa nikiwa na uchovu wa kutoka milimani kwetu nikawahi kulala. Ilipofika saa 7 nilisikia miguno kwa chini nikahisi mwenzangu mgonjwa, ila iliambatana na vicheko kucheki vizuri mwenzangu alikuwa ana jimama likubwa liko juu yake(........)
Ikawa ndio mchezo kila siku sasa mimi nilikuwa hata gal friend sina. Nikirudi mchana rum kupunzika nakuta mwingine amerudi na mwanamke na wamenifungia nje tena/exile. Nikavumilia kama mwezi nikashindwa nikakusanya kilicho changu nikaenda kulala chini kwa washikaji main campus at least huko nilipumua sito sahau mabibo hostel .......
Ni mimi tu au na nyie mlinyanyaswa au kunyanyasa wenzenu?