Maisha ya hawa wasanii wa bongo muvi mwaka mmoja baada ya Uchaguzi yakoje?

Ndio hivyo tena hawakusoma halama za nyakati. Wenyewe wapo kwa ajili ya kuielimisha jamii na kufanya biashara, mambo ya siasa wangewaachia wanasiasa. Wakaegemea upande mmoja sasa hata kwenye tuzo wanapolomoka, hawakujua kuwa wapo kwa ajili ya watanzania sio wanaccm!! Watafulia sana, mpaka wataomba msamaha kwa wananchi.
 
Kumbe mlilipwa, basi kidogo sana. Maana mmeshindwa hata kujitofautisha na kabla ya kuingia kupiga makerere kwenye majukwaa. Poleni sana, bado muda utawahukumu.
 
Wana haki ya kushabikia chama chochote wanachoona kinawafaa..Kwa hiyo ulitaka washabikie UKAWA ndio maisha yao yawe tofauti?
Hao kwa idadi yao hawathili chochote kwenye uchaguzi, Ila hawakujua kuwa waliitajika sana na watanzania kuliko ccm.
 
Naongelea wasanii wa bongo movi. Ndyo maana hapo hukuona kuna picha ya diamond wala wasanii wa bongo flavor

Hivi mkuu izo picha ni za mkoa gani? Iyo nyomi ni hatare sana.
Duh, kweli kura hazikutosha!!!
 
Hawana hamu tena na nyi nyi em wameishia kulalamika kuwa hawakulipwa hela zao zaidi ya ahadi tu bc
 
Hao kina Ney wa migeto sio wasanii?
Mleta mada wacha kielemea upande mmoja...

Haya basi hao hapo sio wasanii ni wabunge
2bc462b44ae6ad9806423cedc0c402bf.jpg

0be6c6b2a3f6dc1b17317c4d3987672a.jpg

3c20e10622278fb76ad23b2b3771b59d.jpg

57fa22f4e44af0769252256a7aefde80.jpg


Naomba wakati tunaendelea kuchangia mada tukumbuke pia tuna picha za aina hii kwenye archives zetu..
Hawa sio tatizo maana walichokuwa wanakipigania hakikufaulu hivyo kama hakuna mabadiliko katika maisha yao watapigania tena 2020. Shida ni hao wa kijani ambacho walikipigania kimewadharau na kuwatupa
 
Sikuhizi wanauliza kwanza, inanini kwani?, ina kipi nisichokijua?, ina TV ndani?. Ukiniomba leo kesho huridhiki tena, kwani unauza nini dada? Nyimbo kama hizi huimbwa nyakati mambo ikiwa mbaya.
 
Hawa sio tatizo maana walichokuwa wanakipigania hakikufaulu hivyo kama hakuna mabadiliko katika maisha yao watapigania tena 2020. Shida ni hao wa kijani ambacho walikipigania kimewadharau na kuwatupa
Asante. Umemaliza
 
Kwani wewe ulipotumika na CDM leo una nini km si umbeya tu - msanii gani hakulipwa kwa kila jukwaa alilopanda au unataka wawekwe kwenye payroll ya serikali????
Tatizo sio kulipwa,umenufaika vipi,inawezekana kutojitambua kwao wamelipwa kisicho kizi maitaji yao,wamewanufaisha wenzao walio madarakani,nina uakika hawakuwa kitu kimoja au wangejijenga kama taass,wangeweka mikakati ya malipo wote kama wamoja nina uakka kipindi cha uchaguzi wangevuna,kwa jinsi walivyokuwa wanaitajika wangekuwa sio awa wanaoangaika kuuza chupi na kuolewa na watoto wadogo,nawashauli 2020 wawe na mikakati ya pamoja kuwe na mikakati ya malipo kama pesa au nyumba na Gari,kama watakavyonufaika wenzao wakiingia madarakani nyumba wanapata na magari juu,kwa mwaka 2015 wametumika kuwafaidisha wenzao,nina uakika 2020 wakipanga kiwango wakitakacho na kuweka ugumu watafaidika,ila wawe kitu kimoja,wasifanye makubaliano ya mtu mmoja mmoja.
 
Sasa hivi sponsor wao ni muuza chips mayai ya kizungu huko dar kwa jina anaitwa sele bonge , ndio utawakuta hapo wanahemea vihepe.
 
e85205945147b29e538cdae532919e95.jpg


Maskini wema na mwenzie.

Hivi ile campain ya mama ongea na mwanao. Walikuwa wanawafundisha vijana wetu kutumia unga
 
Back
Top Bottom