Maisha ya hawa wasanii wa bongo muvi mwaka mmoja baada ya Uchaguzi yakoje?

Kwani wewe ulipotumika na CDM leo una nini km si umbeya tu - msanii gani hakulipwa kwa kila jukwaa alilopanda au unataka wawekwe kwenye payroll ya serikali????
Mko wapi kuwatetea hao ndugu zenu sasa? Kumbe ndyo zenu ma ccm. Nyie mnapiga unga. Acha sie tuendelee na viroba. No stress
 
01d5ebfabfbf67c2bc20baaf2d57584d.jpg

Hiv kati ya hawa kuna aliyeitwa central.

Au viroba havilevyi!
 
Back
Top Bottom