Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

Iringa imekaa pazuri, ukienda kusini wanalima, ukienda moro wanalima na bado tu yenyewe na wilaya zake kuna kilimo. Ukija dodoma pakame inabidi waagize sana sana japo kuna wilaya zinalima, labda cha kufaidi ni nyama ya mbuzi, the rest ni ghali
Lkn nao si Wana Wilaya zinazotoa mahindi na mazao mengine kwa wingi?.Km vile Kibaigwa.
 
Mara ya kwanza Dodoma walinifanya mjjnga sana.. nimefika mjini nikachukua Bajaj jamaa wa Baja akanipeleka Bahi Road nikafikia Lodge ya Kazimoto nikalala siku tatu 90,000 ikanitoka baadae nikaona ujinga nikajichanganya mtaani nikapata room ya 80000 kwa mwezi najipinda nikalipa miezi mitatu. Tokea hapo najua chochoro zote za Dodoma. Mpaka mademu najipangia tu. Mimi ni mtumizi mkubwa wa dada zetu wa Bar.
[emoji23][emoji23][emoji23] Wadada ndo sijafuatilia kujua upatikanaji wake km ni rahisi au lah.
 
Ukiacha mkoa wa Arusha, mtu yeyote akija Dodoma ataona kila kitu ghali. Hapa tunawaondoa wale ndugu zetu wa Masaki na maikocheni. [emoji3]

Alihamia rafiki yangu kutoka iringa kila kitu anashangaa, anashangaa kwenda sokoni na laki kununua mahitaji ya wiki kadhaa kwa mtu mwenye familia ndogo, anasema Iringa ningeenda na elfu 30 ningepata mazagazaga yote ya wiki kadhaa.
Ni kweli huo mji ni mgumu kuishi
 
mkuu hakikisha una connection maeneo mengi unayoenda

Hawa wanaochangia uzi wako ndo connection hao ni watu sio robot

Kuna mtu anasema mbona vyumba vya buku vipo uyo ni connection tiare usiogope kutafuta watu

Mimi nna experience na ili hii forum idumu milele imenisaidia mengi

Ila matapeli wapo pia
Sawa, nitawatumia mkuu, naendelea kufuatilia maoni.
 
Back
Top Bottom