kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Jiwe ndo katuketea jiwe ilalotuponda vichwaniHuyu JK nae ni bora akatulia zake tu huko Msoga. Ametuletea balaa kubwa sana huyu tangu aondoke madarakani 2015.
Yaani amesababisha tuishi kama mashetani! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.