- Thread starter
- #41
Warmly welcome. Mkuu tuko pamoja, tulipitia huko huko,tukatendwa lakini baada ya kugundua faraja ipo kwenye kitabu na kupasua GPA ya uhakika, mkikutana mitaani baada ya wanaowadanganya kuwakimbia utawakuta wamebadilika wameacha umagharibi na kurudi kwenye hali yao ya asili.
Na wengine hufikia hatua ya kutubu na kumrudia Mungu kabisa.
hongera safi mkuu kama ulivuka mapito haya nimependa san busara zako be blessed and keep on advicing others who seeks or ask you for advice