Hi wana jf! Katika moja ya vitu ambavyo cjawahi kufikiri ni kuishi kweny jamii wa wanawake wengi kama Udsm halafu utoke bila kupata mke wa kuish nae sas yamenikuta mana ndo namaliza na npo kweny mitihan ila nimejitahidi kuhakikisha na mpata m/ke wa kuishi nae ila kila ninaye mpata naona hanifai mara baada ya kubaini hata tabia mbovu moja tu sasa cjui nachagua sana na kudadisi kwing so nimeona nirudi jf nipeni ushauri nicje kuwa nachagua sana pia bint ambaye hajaolewa mwny sifa za wife material aniPM tu au akihitaji namba ntamtumia!. Nawaclisha
Okay nimekupata...
Have you secured any job somewhere or do have any source of income?
Kama una mpango wa kuoa mwaka mmoja baadae inabidi kwanza ujiandae wewe binafsi...
Maana nionacho hapa unatafuta mke ambaye naye ni mwanafunzi mwenzako..
Sasa sijui mtaishi kwa kutumia PETROL!!!
Maisha ya ndoa si marahisi kama unavyofikiri, ninahisi hiyo nia uliyonayo sasa ni tamaa tu...
kwani uliambiwa mke anapatikana CHUO kikuuuuuuu? Acha kuwa mbulula
View attachment 97423Walioko mitaan ndo wale waliotoka vyuon na niwachaf zaid," between two evils choose the less"
utabaki hivyo hivyo :yell::nod:nipe advice basi nilikuwa napata wa kugegeda tu!
Hi wana jf! Katika moja ya vitu ambavyo cjawahi kufikiri ni kuishi kweny jamii wa wanawake wengi kama Udsm halafu utoke bila kupata mke wa kuish nae sas yamenikuta mana ndo namaliza na npo kweny mitihan ila nimejitahidi kuhakikisha na mpata m/ke wa kuishi nae ila kila ninaye mpata naona hanifai mara baada ya kubaini hata tabia mbovu moja tu sasa cjui nachagua sana na kudadisi kwing so nimeona nirudi jf nipeni ushauri nicje kuwa nachagua sana pia bint ambaye hajaolewa mwny sifa za wife material aniPM tu au akihitaji namba ntamtumia!. Nawaclisha
Ulikwenda Chuo kutafuta mke au kusoma? Hebu tulia maliza chuo ndo hayo mengine yatafuata na hao wanawake wako kila sehemu..
thanx for ur best afvice ntazingatis kwa kufunga kufuri kabsa na ufunguo ntatupa kabsaaaaa!
Kama umeshindwa kumpata ukiwa chuo basi kuna uwezekano mkubwa sana wa kukosa mke mwema unless umkabidhi kila kitu mwenyezi Mungu.Unapokuwa chuo ni fursa pekee ya kutafuta mchumba na ukapata mke mwema kwa sababu zifuatazo.
1.Wakati upo chuo wengi hutegemea boom hivyo hali ya maisha huwa ngumu kwa kuwa wadada wengi wanapenda fedha yule atakayekupenda atakuwa amekupenda wewe kama ulivyo hivyo kuna uwezekano mkubwa akawa mke mwema.
2.Mavazi yako yanakuwa duni na kwa kuwa wadada wengi wanapenda masharobaro atakayekupenda wewe muda huo atazidisha upendo zaidi mara tu utakapomaliza chuo na kupata kazi nzuri.
Ukishapata kazi kila msichana anakupenda wengine wanakuwa wanafuata fedha zako au mafanikio yako tu hivyo kumjua mkweli ni kazi sana ila kwa Mungu hakuna linaloshindikana kwani Adamu hakuchagua mke aliletewa na Mungu.
utabaki hivyo hivyo :yell::nod:
Kaka soma kwanza pasua GPA ya uhakika ukitaka endelea Masters utawakuta waliotulia au ukianza kazi utapata mliokuwa nao chuoni ambao nao wametulia kama wewe utaoa na kutulia kwa raha zako.
Sio chuoni tu ndiyo unapata mke, hata utakapoanza kazi unaweza kumkuta nyumba ya ibada, maofisini nk. Achana na maono ya kuku kuona hapa, uwe na maono ya ndege TAI kuona maili kadhaa.
aliyekuambia ndoa ni stress ni nani?:yell::nod:Una maanisha ctaoa au kama ikitokea kimpango wa mungu sawa ntakuwa nimeepuka stress nyng san
Warmly welcome. Mkuu tuko pamoja, tulipitia huko huko,tukatendwa lakini baada ya kugundua faraja ipo kwenye kitabu na kupasua GPA ya uhakika, mkikutana mitaani baada ya wanaowadanganya kuwakimbia utawakuta wamebadilika wameacha umagharibi na kurudi kwenye hali yao ya asili.watu weny busara kama wew nadhan wachache sn big up san kwa ushaur wako ur my frnd from tiday onward
aliyekuambia ndoa ni stress ni nani?:yell::nod: