Leo tarehe 14/5/2017 nilikuwepo Kyerwa sehemu inaitwa nkenda, nimeshuhudia Maharage yameanza kufurika kwa wingi...mkwanja ninao na mzigo nauona hapa...masoko ndo yananiwangisha kichwa.. nahaha kutafuta masoko ya uhakika ili kujiingiza rasmi kwenye biashara nipige hela zangu. Kwa sasa niko Benaco najiandaa na route za kwenda kutafuta masoko then soon nirudi kyerwa nifunge tandamu.
Nimependa guest house ni elfu tatu mia tano...dirty cheap!
Mwaka huu lazima nitoke.
Pia Jitahidi kuwa makini hapo Nkwenda maana hako ka mji kana mzunguko wa Pesa sana hasa kipindi hiki cha msimu wa Maharage & Kahawa, usiwaamini sana watu wa hapo ni ka mji ka wapiga dili sana hivyo kuwa makini , ningekushauri uishi KAYANGA then shughuri zako ukawa unazifanya kutokea Kayanga , kwa Nkwenda ikawa Mara moja moja , maana kama umerizika kuanza na maharage ni mengi sana kipindi hiki Wilaya zote yapo ya kutosha, jitahidi pia kutembelea vijijini utapata kwa Bei nzuri zaidi kuliko hapo Nkwenda.Leo tarehe 14/5/2017 nilikuwepo Kyerwa sehemu inaitwa nkenda, nimeshuhudia Maharage yameanza kufurika kwa wingi...mkwanja ninao na mzigo nauona hapa...masoko ndo yananiwangisha kichwa.. nahaha kutafuta masoko ya uhakika ili kujiingiza rasmi kwenye biashara nipige hela zangu. Kwa sasa niko Benaco najiandaa na route za kwenda kutafuta masoko then soon nirudi kyerwa nifunge tandamu.
Nimependa guest house ni elfu tatu mia tano...dirty cheap!
Mwaka huu lazima nitoke.
Umenikumbusha mbali sana miaka hiyo Lukole A,wapi Elianami ......wapi Munisi ..... .
Nadhani panaitwa Nkwenda mkuu!Leo tarehe 14/5/2017 nilikuwepo Kyerwa sehemu inaitwa nkenda, nimeshuhudia Maharage yameanza kufurika kwa wingi...mkwanja ninao na mzigo nauona hapa...masoko ndo yananiwangisha kichwa.. nahaha kutafuta masoko ya uhakika ili kujiingiza rasmi kwenye biashara nipige hela zangu. Kwa sasa niko Benaco najiandaa na route za kwenda kutafuta masoko then soon nirudi kyerwa nifunge tandamu.
Nimependa guest house ni elfu tatu mia tano...dirty cheap!
Mwaka huu lazima nitoke.
Alishatoka kigoma?Elianami nadhani yuko WFP Dodoma.