Maisha ya Benaco na Rusumo pale Ngara

Maisha ya Benaco na Rusumo pale Ngara

Ni mkoa Wa kagera mkuu, sehemu nzuri ya kufanya biashara ni Wilaya ya Karagwe na Kyerwa ,kwa mkoa huu ni Wilaya mhimu sana maana kuna misimu 3 , kuna msimu Wa Kahawa ambao huanza mwezi Wa 6 hadi Wa 9 , na unachanganya sana kwa mtaji wako huo unatosha sana kuanza angalau na Tani 10 za Kahawa unakuwa unaizungusha kwa muda Wa miezi mitatu unaweza ukasema ulichelewa kuanza maana inalipa, baada ya hapo kuna msimu Wa maharage mwezi Wa 9 hadi 11, after that kuna Kahawa awamu ya Pili ambayo huwa ni chache hiyo inaenda kuanzia Wa 12 hadi Wa kwanza, unatulia kidogo , mwezi Wa Tano na sita maharage yapo , yakiisha unaunga Kahawa, hiyo ndo hali halisi ya kyerwa na Karagwe boc
Asee! Kwa maelezo yako Inaonekana hapo karagwe kuna mzunguko mkubwa wa pesa, muhimu mtaji uwepo.

Ningependa kupata tahadhari muhimu za kuchukua kwenye hii biashara kutoka kwako mkuu!
 
karagwe hapo omurushaka kuna mzunguko sana watu walianza na viduka mtaji wa mil 5 leo wanamiliki mambo makubwa,weka makazi yako bugene kwani ndo center ya karagwe
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu! Nilikuwa nafikiria juu ya kuishi na kuwekeza haka kapesa kangu Benaco lakini umechange kabisa mindset yangu na karagwe nilikuwa sina habari napo sana ila kwa sasa nitapazingatia na kupatafiti zaidi.

Ila kwa mkoa wa Ngara wapi ni sehemu nzuri ya kwenda kufanya biashara ya kilimo! Na pia nini ni bora kulima au kununua mazao toka shambani kwa mkulima?
NGARA sio mkoa, umesomea tz au nje ya nchi
 
ka
Habari waungwana!?

Ningependa kujua hali ya maisha kwa namna ya utafutaji katika maeneo haya ya mpakani mwa Tanzania. Mzunguko wa kiuchumi ukoje? Gharama za maisha zikoje!? Panafaa kwa kuanzia maisha ya utafutaji? Vipi kuhusu upatikanaji wa vyakula!? Biashara ipi inalipa kwa kutoa pale na kupeleka Rwanda!?

Kwa wale wote waliowahi kupita au kuishi maeneo haya ya mpakani tupeni uzoefu wenu juu ya maisha na utafutaji wa riziki kwa ujumla!?

Karibuni!
ma vipi sogea pale masumbwe ukanunue dhahabu kwenye migodi ya mwabomba.
 
Ni mkoa Wa kagera mkuu, sehemu nzuri ya kufanya biashara ni Wilaya ya Karagwe na Kyerwa ,kwa mkoa huu ni Wilaya mhimu sana maana kuna misimu 3 , kuna msimu Wa Kahawa ambao huanza mwezi Wa 6 hadi Wa 9 , na unachanganya sana kwa mtaji wako huo unatosha sana kuanza angalau na Tani 10 za Kahawa unakuwa unaizungusha kwa muda Wa miezi mitatu unaweza ukasema ulichelewa kuanza maana inalipa, baada ya hapo kuna msimu Wa maharage mwezi Wa 9 hadi 11, after that kuna Kahawa awamu ya Pili ambayo huwa ni chache hiyo inaenda kuanzia Wa 12 hadi Wa kwanza, unatulia kidogo , mwezi Wa Tano na sita maharage yapo , yakiisha unaunga Kahawa, hiyo ndo hali halisi ya kyerwa na Karagwe boc
Mkuu ww ni muungwana sana ubarikiwe, ni watu wachache sana wenye moyo wa kumuelekeza mwenzie njia za biashara, hawataki watu wengine watoke. ...nitakuja Karagwe nikutafute naomba uni PM namba yako takupigia.
 
Mkuu humu duniani tunapita tu hivyo unapoona mwenzio anauhitaji ni jambo jema kumweleza ukweli, kama unampango wa kuja Karagwe uta nitafuta mkuu, maana sasa Niko Ngara kulikuwa na Msimu wa mahindi , so usiwe na shaka nitakuongoza na kukuelekeza cha kufanya mkuu.
 
Una moyo wa kitajiri sana mkuu.

Most ya walio na uzoefu wa biashara na kufanikiwa, huwa ni magumu sana kuwa 'mentor' kwa beginners. Kwa hili nakupongeza ndugu.

Mie pia nitapopata mtaji, nitakuomba uwe mentor wangu kwenye hii bizna ya nafaka.

Ubarikiwe.

-Kaveli-
 
Usijali mkuu nawe barikiwa sana.
 
Mkuu humu duniani tunapita tu hivyo unapoona mwenzio anauhitaji ni jambo jema kumweleza ukweli, kama unampango wa kuja Karagwe uta nitafuta mkuu, maana sasa Niko Ngara kulikuwa na Msimu wa mahindi , so usiwe na shaka nitakuongoza na kukuelekeza cha kufanya mkuu.
Mkuu Serengo nimependa maelezo yako ya Kina mimi Karagwe ndio home, kayanga mjini hapo nitakutafuta PM kuna kitu cha kujifunza kwako!
 
Mkuu humu duniani tunapita tu hivyo unapoona mwenzio anauhitaji ni jambo jema kumweleza ukweli, kama unampango wa kuja Karagwe uta nitafuta mkuu, maana sasa Niko Ngara kulikuwa na Msimu wa mahindi , so usiwe na shaka nitakuongoza na kukuelekeza cha kufanya mkuu.
Leo tarehe 14/5/2017 nilikuwepo Kyerwa sehemu inaitwa nkenda, nimeshuhudia Maharage yameanza kufurika kwa wingi...mkwanja ninao na mzigo nauona hapa...masoko ndo yananiwangisha kichwa.. nahaha kutafuta masoko ya uhakika ili kujiingiza rasmi kwenye biashara nipige hela zangu. Kwa sasa niko Benaco najiandaa na route za kwenda kutafuta masoko then soon nirudi kyerwa nifunge tandamu.

Nimependa guest house ni elfu tatu mia tano...dirty cheap!

Mwaka huu lazima nitoke.
 
Vip kaka maisha ya Rusumo yakoje.nasikia wanapita samaki wengi kwenda Rwanda
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu! Nilikuwa nafikiria juu ya kuishi na kuwekeza haka kapesa kangu Benaco lakini umechange kabisa mindset yangu na karagwe nilikuwa sina habari napo sana ila kwa sasa nitapazingatia na kupatafiti zaidi.

Ila kwa mkoa wa Ngara wapi ni sehemu nzuri ya kwenda kufanya biashara ya kilimo! Na pia nini ni bora kulima au kununua mazao toka shambani kwa mkulima?
Wewe (kwa tone ya mke wa joti) ngara ni Wilaya
 
Back
Top Bottom