hahhh? Muda bado tunao ndugu yangu, ni kujipanga tu...
Mkuu sidhani kama ni kujipanga tuu. Kama hili litawezekana Tanzania, tutahitaji a completely overhaul of our culture ambayo ina include the way we live. Kuishi kwenye hilo wheel of life inahitaji time management. Kwa Watanzania, linapokuja suala la time management, we are useless. Hatujali kabisa muda. Unaweza ukawa una manage muda wako vizuri lakini ukakwamishwa na watu wengine. Mfano, unaweza ukawa umepanga kwenda kufanya check up ya afya yako for one hour, then ukitoka hapo uingie msikitini/kanisani mara moja, then gym, kabla ya kwenda kuwatembelea ndugu na jamaa. Unafika hosipitali na kusubiri zaidi ya masaa matatu kufanyiwa hiyo check up. Hapo itabidi either u cancel msikitini/kanisani, gym au kuwatembelea ndugu na jamaa, ili uwahi nyumbani kabla watoto hawajalala. Kwa hiyo the wheel of time ni crucial sana ili kufanikiwa kwenye the wheel of life.
Kama nilivyosema mwanzo, the wheel of life is so artificial. Tena nahisi aliyetengeneza hii wheel of life atakuwa alichakachua the Buddhists' wheel of life which symbolizes "the endless cycle of existence and suffering" of human being." With its six realms, it is held up to us as a mirror by Yama, the god of death who send to human beings the messengers of approaching old age, sickness and death.
Lakini nafikiri the wheel of life ya kuchakachua inaweza kusaidia ku set priorities. You cannot achieve everything you desire or the world want you to achieve in your life. But there are things you good at. Prioritize on those you're good at. The wheel of life inaweza kukusaidia kujua dimenstions muhimu za maisha yako. Ukishazijua hizo dimensions, then unaweza ku set priorities. Kama you are good at making money and you love making money then concentrate on it. Kama wewe ni mzuri kwenye mambo ya kidini, then ya Kaisari mwachie Kaisari. Do what make you feel better. Otherwise, utaji confuse.
Hapo umesema 100%, ni kweli sisi ni wazembe katika kujali maisha ya familia. Ninakataa kukubali ya kwamba anachofanya mdhungu sisi tutashindwa kama tutabadili msingi wa maisha yetu. Kwa wenzetu J2 na Jumamosi ni family days..mara nyingi moja kati ya siku hizo hakuna kupika home..familia nzima inatoka na kubadili mlo kwenye restaurant. Lakini sisi baba na mama hawaoni kama ni sahihi kwani kila siku wanasimama Pub na kujichana kila siku wakisingizia foleni barabarani.
Nyumbani kuna utitiri wa Pub hadi jioni watu wanafunga barabara za uswazi na kupanga viti nje..Hebu tujaribu kukaa na watoto nyumbani tuone kama hivyo vipub vitapata wateja..Tunajifanya ni wafanyakazi..wakati tunamaliza kila siku 4 hours kwenye matanuzi kati ya saa 10 jioni hadi saa 4 usiku.. Kama tunapenda kazi kwanini tusiendelee kufanya kazi hadi saa 4 usiku na kumaliza viporo vya kesho ili tuwe free Saturday?
Mfumo mzima wa kutojali familia na sisi wenyewe ni uzembe wetu ambao tuna-uhalalisha na mambo ya uchumi, foleni, shule etc..Hatukai pamoja kama baba na mama na kujadili mambo ya family; hatukai na watoto wetu ku-observe channel gani za TV wanaangalia. Parental Control banners kwenye vipindi vya TV havina umuhimu kwetu..kwani hakuna atakayekuwa nyumbani ku-observe, kazi hiyo tumewaachia ma-house girl ambao hata kusoma hawajui..
Mimi nadhani tuanze kujibadili.. All in all, tukumbuke kuna familia ambazo tumeshavuka haya tunayoyasema..hata kwa macho tunaziona na maneno tunasikia ..kama vile .."hao wanajifanya wadhungu..yaani utamwona baba yuko busy anawaogesha watoto halafua anafua nguo...kama sio udhungu basi amerogwa na mkewe"... Basi Ndugu yangu ..ukisikia majirani wanakusema hivi..ukenue meno..ume-win game! Wewe` unaishi perfect life..na sio maisha ya uzandiki!
Waungwana hata hao "Wadhungu" wengi wao wanashindwa kubalance hilo gurudumu linaloitwa "wheel of life" na ndio maana katika nchi nyingi za Magharibi sasa hivi divorce rate zinakaribia 60%. Wengine pamoja na kupenda maisha ya ndoa lakini hawataki watoto ili kuepuka gharama kubwa za malezi na pia kuvuruga life style ya kuchukua vacation za nguvu kwenda huku na kule. Wengine wanaona marafiki zao walio na watoto wanavyohangaika na watoto hivyo wanaamua kutokuwa na watoto pamoja na kuwa wamo katika maisha ya ndoa. Ni nafuu mno kwenda vacation kama ni mke na mume tu ukilinganisha kwenda vacation na watoto wawili au zaidi, hivyo asilimia ya wanaotaka kuwemo kwenye ndoa lakini hawataki watoto inazidi kuongezeka kwa kasi sana labda hizi ni juhudi za kutaka kubalance huo mduara wa maisha.
Na hili hii ya kuwepo ndoa nyingi zinazovunjika kutokana na kushindwa kuendana na mduara wa maisha imefikia hata wengine wanapendekeza ndoa ziwe za mikataba ya muda mfupi mfupi. Mnaingia kwenye ndoa ya mkataba wa miaka miwili, mitatu au hata mitano. Ikikatika miaka hiyo mnakaa chini kuangalia kama wote mngependa kurenew mkataba huo na kuendelea na ndoa yenu vinginevyo kila mtu anachukua 50 zake. Wengine wamo hata katika ndoa ambazo wanaziita "open marriage" ambazo mume/mke hatakiwi awe na wivu kwa mwenzie. Unarudi nyumbani unamwambia mwenzio natoka leo na boyfriend/girlfriend wangu tunaenda dinner halafu kuruka majoka na sijui kama nitarudi nyumbani au la. Sisi hii waungwana ni ndoa kweli? Watanzania/Waafrika tutazikubali ndoa kama hizi za mume/mke kwenda kuchakachua nje ya ndoa na huku mwenzie akijua wazi kinachoendelea?
Tukija kwenye kuabudu nyumba za kuabudu ziko empty kabisa siku za jumapili labda utakuwa Wazee tu, kunakuwa na ahueni wakati wa Xmas au Pasaka na hili linasababishwa na mengi ikiwemo wengine kuingia dini nyingine au kuamua kutofuata dini yoyote ile duniani.
"Wadhungu" pia wana struggle sana katika kubalance hilo gurudumu la maisha ndio maana ndoa zao hazidumu kama miaka ya nyuma ambapo ndoa nyingi zilikuwa zinadumu hata kwa miaka 40 au zaidi. Sasa hivi ndoa ya miaka 10 inaonekana imedumu kwa muda mrefu maana nyingi hazifiki hata miaka mitano. Sijui ni asilimia ngapi ya ndoa zet za Kitanzania zinazovunjika lakini nakumbuka mwaka jana kusoma article moja katika moja ya magazeti yetu kwamba idadi ya ndoa zinazovunjika inaongezeka kwa kasi ya kutisha na hii ni ishara ya wanandoa wengi kushindwa kupanga maisha yao kuendana na hilo gurudumu la maisha.
...sawa kabisa bana, ila kukumbushana kumo. Hata sigara ina health warnings lakini wavutaji wanafungia macho!...
....Maisha ni vile mwenyewe wataka yawe. So long as you are happy ....'usijali furaha yako ina athari gani kwa wanaokuzunguka'
Sisi tunakusubiri wewe utoe konklushen ya thread, usituenjoy bana!Mh leo najifunza Mengi
Mh leo najifunza Mengi
Well said BAK.
kama kuna watu ambao wanaogopa na kukimbia majukumu basi hakuna kama wazungu, Ingawa somehow naona kama system zao na lifestyle zao zinachangia pia wao waogope majukumu kama ndoa na watoto, na kwa upande wa pili pia system imewaforce wawe ni watu wa kuthamini muda kwavile kama ni mfanyakazi basi no nonsense throughout the week. They mean business. Sio Bongo unaenda ofisini halaf unapata muda wa kwenda nyumba ndogo within working hours. heheheh
Here you r! when i expect u the least! anyway happy belated besdei kwanza, niliona sredi too late.Umesahau tangia kuingia kazini mtu kasoma magazeti, kanywa chai, kasoma email..wengi wetu hatuna mikakati thabiti na kuhitimisha ipasavyo..Kama ulivyosema Kloro, time ni valuable sana huko kwa watasha!...
Yani mimi kubalance kote financial statements katika kazi zangu za kila siku ila sijawahi kubalance hiyo 'wheel of life' kwa 100% . Unakuta vitu fulani vimeelemea vingine. Thanks Mr. Mbu nitafanyia kazi!!
poa shem! acha namimi nikae pembeni nijifunze sasa mwalim mpya BJ kahuzuria rasmi.Klorolwin mi siwaEnjoy njifunza tu shem wangu
Nimepaste hiyo mesage naona inaleta mawanga tu
Waungwana hata hao "Wadhungu" wengi wao wanashindwa kubalance hilo gurudumu linaloitwa "wheel of life" na ndio maana katika nchi nyingi za Magharibi sasa hivi divorce rate zinakaribia 60%. Wengine pamoja na kupenda maisha ya ndoa lakini hawataki watoto ili kuepuka gharama kubwa za malezi na pia kuvuruga life style ya kuchukua vacation za nguvu kwenda huku na kule. Wengine wanaona marafiki zao walio na watoto wanavyohangaika na watoto hivyo wanaamua kutokuwa na watoto pamoja na kuwa wamo katika maisha ya ndoa. Ni nafuu mno kwenda vacation kama ni mke na mume tu ukilinganisha kwenda vacation na watoto wawili au zaidi, hivyo asilimia ya wanaotaka kuwemo kwenye ndoa lakini hawataki watoto inazidi kuongezeka kwa kasi sana labda hizi ni juhudi za kutaka kubalance huo mduara wa maisha.
Na hili hii ya kuwepo ndoa nyingi zinazovunjika kutokana na kushindwa kuendana na mduara wa maisha imefikia hata wengine wanapendekeza ndoa ziwe za mikataba ya muda mfupi mfupi. Mnaingia kwenye ndoa ya mkataba wa miaka miwili, mitatu au hata mitano. Ikikatika miaka hiyo mnakaa chini kuangalia kama wote mngependa kurenew mkataba huo na kuendelea na ndoa yenu vinginevyo kila mtu anachukua 50 zake. Wengine wamo hata katika ndoa ambazo wanaziita "open marriage" ambazo mume/mke hatakiwi awe na wivu kwa mwenzie. Unarudi nyumbani unamwambia mwenzio natoka leo na boyfriend/girlfriend wangu tunaenda dinner halafu kuruka majoka na sijui kama nitarudi nyumbani au la. Sisi hii waungwana ni ndoa kweli? Watanzania/Waafrika tutazikubali ndoa kama hizi za mume/mke kwenda kuchakachua nje ya ndoa na huku mwenzie akijua wazi kinachoendelea?
Tukija kwenye kuabudu nyumba za kuabudu ziko empty kabisa siku za jumapili labda utakuwa Wazee tu, kunakuwa na ahueni wakati wa Xmas au Pasaka na hili linasababishwa na mengi ikiwemo wengine kuingia dini nyingine au kuamua kutofuata dini yoyote ile duniani.
"Wadhungu" pia wana struggle sana katika kubalance hilo gurudumu la maisha ndio maana ndoa zao hazidumu kama miaka ya nyuma ambapo ndoa nyingi zilikuwa zinadumu hata kwa miaka 40 au zaidi. Sasa hivi ndoa ya miaka 10 inaonekana imedumu kwa muda mrefu maana nyingi hazifiki hata miaka mitano. Sijui ni asilimia ngapi ya ndoa zet za Kitanzania zinazovunjika lakini nakumbuka mwaka jana kusoma article moja katika moja ya magazeti yetu kwamba idadi ya ndoa zinazovunjika inaongezeka kwa kasi ya kutisha na hii ni ishara ya wanandoa wengi kushindwa kupanga maisha yao kuendana na hilo gurudumu la maisha.
Mbu kuna zile messeji za kuforwadiana nilipata moja nikamtumia dada yangu hatukuongea miezi sita. Sikuwa na nia mbaya ila nilishare na ndugu zangu wote yeye aka mind kaona nimemlenga maana ana kazi yenye kipato cha juu sana na kutwa yuko kwenye ndege. Sasa hiyo message inaongelea mtoto mdogo aliyetaka kushow love kwa mama yake lakini aka end up being ignored. Ni muda siikumbuki vizuri ngoja nii search nikiipata nitaiweka. In short message ilikuwa tusijali sana kazi za ofisini kwani ofisi haina shukurani na haikupendi kama familia yako. Nilikoma kuna watu mwenzangu hawaforwadiwi message ovyo ovyo. Nilijibiwa dry mpaka nilikoma.