Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna milioni 50 hapa za kuanzisha maisha please badilisha maamuzi.Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asante sana Jiwe nitabaki kuwa Jiwe tuNimependa ulivyotoa la moyoni kwa njia ya kawaida kabisaaaa ,,hakika ww si jiwe ww ni mwamba imara!
Sent using Jamii Forums mobile app
Excellent comment...!!Haya maisha haya... Unafikiria hali ngumu unaipitia mwenyewe vipi kwa mtoto wa miaka mitatu wazazi wamepigwa mabomu huko Syria kabaki yatima?
Acha kuwa na mawazo ya ajabu kesho pia ni siku, huijui kesho yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio huyo jamaa kiduku shida nikwamba sheria na kanuni za ulimwengu zinasema lazima uweke usawa wa uzito ili mzani uwe sawaMkuu,kwann mtu kama kiduku lilo asijitokeze na kusaidia watu wenye uhitaji hapa Jf akazd kubarkiwa zaidi na mali alizonazo maana simuoni kabsaa akijitolea kwa lolote au ndo wale wakujifanya wanacho kumbe majanga tu et. Maana simuelewi huyu jamaaaa