Samily de cruze
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 230
- 680
Wenda kijana mwenzangu kwa Siku nyingi na miaka mungu umekaa bila kugundua na kufikiria maisha yako ya mbeleni utafanya nini kufikia target yako.
Inaweza isiwe muhimu sana kwa mtazamo wa juu ila kaa ufikirie je nikwel au uongo.
Kufanikiwa maishani unaitaji vitu viwili;
>UJINGA
>UJASIRI
* Mtu anaweza akajiuliza au akaniuliza nina maana gani ninapo sema uwe mjinga na wakati katika "MAFANIKIO" unatakiwa usiwe "MJINGA" nina maana kwamba "katika maisha tunaishi na binadamu wenzetu na kawaida tupo tofauti katika mtazamo unaweza ikawa unayo malengo ambayo kwa mtazamo wako unaweza ona ni sahihi ila watu wanao kuzunguka Siku zote ndio huwa wabaya wako watakuwa wa kuku katisha tamaa na kukusonga" ila kumbuka;
Mtu aliyefanikiwa ni yule anaye jenga msingi kwa kutumia matofali aliyo rushiwa na watu wengine.
*na pia nikiongelea "UJASIRI"anafahamu kila mtu anajua nini maana ya ujasiri "mimi Siku we a kutofautisha neno 'ujasiri' na 'uvumilivu' maana Siku zote ukiwa jasiri uvumilivu' kwako ni kitu kidogo sana.
Pia ujasiri unaleta mambo yafuatayo;
>uvumilivu
>ushindi/mafanikio
>bidii
Haijalishi ni njia finyu ya kwenda mahali penye thamani bali kuna vitu vichache ambavyo ukivifanya utajikuta ukiwa unaona mlango wa mafanikio kuwa ni mpana ;- jitambue wewe ni nani
:- angalia njia ulio ichagua ina match na mienendo yako?
:- kuwa na marafiki wasio wanafiki
:- *mjue mungu*
mambo haya ukiyafa utajikuta unakuwa mtu fulani katika jamii ya wasomi
MWISHO
Nimekuwa nikitafuta vijana wenzangu wanao hitaji kujikwamua kutoka sehemu moja kwenda nyingine lakini wengi tunaogopa na kubaki kufikiria kwamba njia rahisi ni "KUBETI" pia kutumia kauli ya wengi "mtu fulani ashafanya kazi hiyo akafeli"Mpendwa haturuhusiwi kusimama bali tuna ruhusiwa kujaribu tena na tena
MAISHA SIO KUBAHATISHA MAISHA NI KUJITUMA NA KUKUBALI CHANGAMOTO ZOTE
Imeandaliwa na SAMWELY WALTER
Sent using Jamii Forums mobile app