Hata mimi nilibaki na mshangao! Mwenye taarifa atujuze maana wale mabinti walikuwa wanalia na Babu hakueleza nini kimetokea japo aliwapigia simu ndugu zao na kuwaeleza kuwa wao wenyewe wakifika nyumbani watasema
Ni kweli, ila nadhani wangesema tuelewe kwa nini wametolewa kwa sababu hiyo ilikuwa nje ya utaratibu wa kawaida. Kama kuna mwenye namba ya Masudi anaweza kutuwekea tumuulize.
Uendapo Hospitali tambua kuna mlango mmoja wa kuingilia na miwili ya kutokea -we kaitama !!! hii ndo nn?
Mlango mmoja wa kutokea na mwingine wa kutolewa!