Maisha Plus nyuma ya pazia!

When the country is in state of anarchy, everything is possible.
 
unafiki mtupu......
wabongo acheni hizo...
 
huyo neema amekuwa
maarugu baada ya kupigwa
na yule aliyepandisha masheTANI
 
si kuna maneno yanayoendelea mtaani kuwa kp kanasa? asiwe kuwa anasambaza? umasikini na tamaa utawamaliza mabinti zetu

Maneno haya ni kweli? kaka Kipanya jitokeze utuambie ukweli!
 
tusikimbilie ku crush kila kitu, lisemwalo lipo, kwani credibility ya watu kama kp c inaeleweka kua ni mtu wa totoz, siwez shangaa maana viongozi wa uo mchezo ni macheck bob tu wako pale kutafuta wasichana!
Huyo KP na ngono mkuu ni kidole na pete
 
Mie ndio maana siangalii hiki kipindi,asanteni kwa taarifa hizi kwani sijutii tena kutoangalia kipindi hiki.
 


Very wrong!nataka kusema sio sahihi kabisa.Hivi Watanzania tuna matatizo gani?Hisia,Majungu,Wivu n.k
 

kama huyo neema wa shinyanga amempa kipanya hicho kitu chake nimakubaliano yao hatuna mamlaka ya kuwazuia.
Isitoshe huyo neema ameshatoka katika mashindano kwaio kipanya atakuwa na uhuru nae bila kuingiliwa.
 
kama huyo neema wa shinyanga amempa kipanya hicho kitu chake nimakubaliano yao hatuna mamlaka ya kuwazuia.
Isitoshe huyo neema ameshatoka katika mashindano kwaio kipanya atakuwa na uhuru nae bila kuingiliwa.

Neema Shinyanga hajatoka aliyetoka ni Neema Tabora.
 
Nawashukuru wana jamvi woote ambao wametoa na wanaendelea kutoa michango yao, kitu cha msingi ni kuufanyia utafiti kila kina cho jiri ndani ya kijiji cha maisha Plus hasa kwa wale ambao wanaufatilia mchezo huu vinginevyo ni vigumu kuufatilia kama huna access hivyo kutoa michango ambayo haina mashiko kama huyo aliyesema kuwa Neema katoka wakati aliyetoka ni Neema Tabora!
 
If it is true, then there is no need of this mchezo. Sasa Abdul naye alitoa nini akashinda? Wanaume wao wanatoa nini?

Teh..teh...teh..teh nasikia valentine bongo palikuwa hapatoshi. Siku hizi hii kitu imekuwa kama.......Walaaniwe
 
Duh! Mimi sijui hata hiki kipindi kinafundisha nini?

Maisha ya kijijini kila siku tunaona watu wanavyoishi huko, no need of using a lot of money by trying to fake something which is note faked.

Kwanza ni akina nani wanaspounsor kipindi kama hicho ambacho hakina mwelekeo? na nini msaada wa Maisha Plus kwa jamii ya kitanzania, both economically and socially?

Naona bora hata hao spounsors wakafadhili hata vipindi vya watoto wa primary school kama wale jamaa wa White Dent Quiz tunaweza kupata huko young bloods ambazo zina mwelekeo kuliko hawa ambao wameshapoteza mweleko na hawajui walifanyalo.

Maisha Plus upuuzi mtupu.
 
Majungu hayatatusaidia wabongo. Washiriki wote mle wana umri zaidi ya miaka kumi na nane. Kisheria ni watu wazima. Hivyo wanachokifanya wanakifanya kwa kujua mazuri na mabaya yake. Kama kuna mtu anatumia uanamke na kujilainisha ili ashinde tuzo au chochote, hilo haliwezi kupingika au kuzuilika mahali popote, si lazima iwe Maisha Plus. Mambo hayo yanatokea makazini, mashuleni, kwenye kwaya, gerezani n.k.

Kwahiyo mtu hawezi kuwa na haki kuikosoa maisha plus eti kwa sababu anahisi tu dada fulani kapendelewa, na tena kapendelewa kwa kuwa anatoa mwili. Kwani akina dada hawawezi kufikia mafanikio hadi wagawe?

Tuache majungu, tuwajibike. Kama kweli mambo hayo yanafanyika, basi washiriki wenyewe wajitokeze na waseme. Kwanini tunasemea mioyo ya watu wengine?
 

Kwanza kuliko kuleta allegations ambazo hazifanyiwa, kafanye wewe huo utafiti. Tena uweke na references za kueleweka toka kwenye other reality programmes za Tanzania na nje ya Tanzania. Nevertheless, usiache kuelezea kuhusu terms of reference and conditions za Maisha Plus.

Pili umeona Maisha Plus ndio tatizo kubwa la kitaifa hadi ifanyiwe utafiti wa kila linalojiri humo ndani? Labda wewe ni mhamasishaji, je unaweza taja hamasa za mambo yanayoikumba jamii ya Watanzania na yanayohitajiwa utafiti wa kina?

Mwisho, unaweza kuwasiliana na TBC au KP kama una kwere, mbaratata au utata kuhusu Maisha plus......
 
Nashukuru Ama kwa mchango wako, upo huru kutoa wazo lako japo wazo lako haliweki mpaka wa kichwa changu kufikiri! jukwaa hili ni la hoja mchanganyiko so nimetoa hoja na ukweli ndio huo whether u like or not!
 

Mkuu Ama una-sound kama PRO wa Maisha+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…