Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,145
- 250
Karibu sana JF,na karibu mnooooooooooo,chit chat,ni jukwaa tamu kuliko yote,wanaonogewa wapige makofi tafadhali!!!Ktk maisha ukiweza tu kupata hela na mapendo na amani basi yani hapo sasa ndo kutakuwa na maana ya kuwa na maisha sasa tofauti na hapo ukikosa vyote basi bdo maisha huja yapata na ndicho tunachokitafuta hapa duniani na ndiyo amri moja ya kwamba tupendane imetokwa kwa Mungu?!
Ni hayo tu, mi mgeni humu ndani so nikaribisheni basi.
Maisha ni afya njema na mapenzi, i mean kuduu.!
Hhahah hahahha!Maisha ni afya njema na mapenzi, i mean kuduu.!
thats wai nakulavu tu ze maksimam.....bila kuduu no laifu ati oli....jasti inkesi....
Hhahah hahahha!
TAMNO hapo red tu ndio nimeona!!!!!
kweli aisee, hebu nielekeze namna ya kufika Yaeda kwa Punda,, nna vibulu viwili vya maziwa nataka kukuletea..
nipo safarini....oldonyo sambu....kamata chopa mara moja....
Sana sana tu,halafu Swaiba unapenda kuduu eeh?
Sana sana tu,
Hapa najiandaa kupata cha mchana lol!
Mda wa lunch time Swaiba,one hour inatosha kbs,unakipatia kazini?!
Mda wa lunch time Swaiba,one hour inatosha kbs,
Tunarudi ofin na nguvu mpya!
Ndio narudi now,wani hawa, hau meni kuduuz?
Ndio narudi now,
Hayo mambo tunayaweza wenyewe na mme wangu tu!