MAISHA: Nilinusurika kwenda Jela baada ya mke wa mtu kuoenekana kama kafia kitandani kwangu (sitasahau)

Inamafundisho lkn kwangu mm inamapungufu mengi ili niiamini kuwa ni stori iliyokutokea kwa mtiririko huo.
 
Ndo maana fidi q alisema siitaji marafiki kwa usela wa kishamba kama huu pole mkuu ni mapito ya dunia haya.
 
Naona watu wanaongea mengi kuhusu wanajeshi mara oooh wasingekuacha mara umeongeza chumvi suala ni kwamba *mke wa mtu sumu*
 
Duh pole sana mkuu wake za watu ni watamu mno ila tatizo ndo hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaleta mahitimisho kwa hisia zao tu,hivi fikiria watu wametoka kijiweni tunakwenda kufumania mke,huyu kunguni anayemchukua atatukoma.

Wanafika hapo,wanakuta unshangashangaa tu kuuliza anauliza mmoja mwenye mke anakimbilia chumbani,lengo akute baby amekaa au anavaa,hamad anakutana na picha ya maiti,ule mshituko baada ya gia kibadilikia angani mwenye mke anazimia,huyu mjeshi mwingine akiwa hajapewa jibu kwanini unakula mke wa mwenzake-inabidi ajue sasa kwamba huyo mke ni marehemu na mwenzake pia kaanguka hajitambui.

Kuna wajinga hapa wanadhani wanajeshi wangeanza kukurusha kichura
🀩🀩🀩.pole kwa matatizo mkuu,na pia hongera kwa kunasuka kwenye hii kimeo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
ila huwa ni hatari sana kukaribisha watu na kkuishi nao hata kama ni rafiki wengi wameibiwa vitu vyao n wengine wameingizwa matatizoni na hao wanaokaribishwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaa chenga kweli, yani mmwajeda wamekuja kufumania yeye akafanikiwa kuwadhibiti bila hata kula mitama? Huyu kuna scene kazificha
 
Ukitaka kujua hii ni chai. Tanzania hakuna wanajeshi wastaarabu kiasi hicho. Lazima wangekula kwanza 0713 alafu mengine yangefuata.
Soma between lines jamaa alimthibiti jamaa mwingine jamaa alikua mtu wa IDARA, maana kwenye mafunzo pia wamo
 
Anadhani wote tuli fail shule.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaa chenga kweli, yani mmwajeda wamekuja kufumania yeye akafanikiwa kuwadhibiti bila hata kula mitama? Huyu kuna scene kazificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…