Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 151
Maisha ni maamuzi ya mtu mwenyewe
Vile unataka kuwa ni ww mwenye kupokea
Ushauri ni suala la ziada lakini hatima ya maisha yako unayo mwenyewe
Mind set yako mwenyewe ifanyie kazi
Vizuri kuna positivity na negativity haya yote uwamuzi ni wako hiyo ndiyo siri kubwa ya maisha usitegemèe binadamu
Mwenzako kwa %100 epuka kuwa mtumwa wa fifra usiwe mvivu wa kufikiri
Sumbua ubongo majibu utayaona acha kulalamika the way unavyo lalama muda
Unazidi kuchapa raba ___Adiooosi na mangae-----