Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Asubuhi wakati wa kuingia kazini*
SAIMON SIRO kampigia saluti bosi wake ERNEST MANGU.
*Jioni wakati wa kutoka kazini*
ERNEST MANGU kampigia saluti bosi wake SAIMON SIRRO.
hapa sasa ndo nimeelewa maana ya *Maisha ni kama gwaride*