Ni kweli [emoji848] uliyoyasema!
Sasa tufanyaje!?
Manake tutakosa Cha kufanya
Fanya unachodhani ni sahihi kwa wakati sahihiNi kweli [emoji848] uliyoyasema!
Sasa tufanyaje!?
Manake tutakosa Cha kufanya
Blessings √√√Wenye Chakula hawana appetite (hamu ya kula) na wenye appetite hawana chakula. Wenye majumba ya kifahari wanakosa usingizi, na wenye usingizi wa kutosha hawana hata pakulala. Wagonjwa mahututi wanaomba uzima, wazima wa afya wanajiua.
Wagumba wanalilia watoto, wasio wagumba wanatoa mimba na kutupa watoto chooni. Wenye mialiko mingi hawana nafasi ya kwenda na wenye nafasi hawana mialiko.
Wasio na kope wamejikubali kama walivyo, wenye kope wanavaa za bandia. Anayepewa upendo hauthamini asiyependwa analilia upendo.
Wenye amani wanaomba vita na kutishia machafuko, wenye vita wanalilia amani.
Mwenye nafasi ya kusoma na ada analipiwa hataki shule wala haitilii maanani, mwenye kiu ya kusoma hana ada.
Ni kama binadamu hajui anachokitaka hivyo hata akipata alichodhani anataka bado haridhiki kwani sicho hicho anachotafuta.
CHA KUSHANGAZA
1. Hicho unachokidharau Leo ndicho kilikuwa kinakuliza jana na kukunyima usingizi.
2. Hayo unayotafuta Leo pia kesho hayatakuwa na mashiko kwako.
MAISHA NI FUMBO LILILOSHEHENI VIFUMBO* KAMA MFALME SULEIMAN ALIVYOSEMA " TUNAFUKUZA UPEPO" ambao hatutakaa tuukamate!!
SHUKURU KWA UHAI. VINGINE VYOTE VINATHAMANI USIPOKUWA NAVYO, UKIVIPATA THAMANI YAKE INAISHIA HAPO. HIVYO USIRUHUSU VIKAKUTAWALA
Niwatakieni maisha mema
NA MUWE NA WEEKEND NONO HUKU MKILITAFAKARI FUMBO HILO
...Think deep!!😷😷Wenye Chakula hawana appetite (hamu ya kula) na wenye appetite hawana chakula. Wenye majumba ya kifahari wanakosa usingizi, na wenye usingizi wa kutosha hawana hata pakulala. Wagonjwa mahututi wanaomba uzima, wazima wa afya wanajiua.
Wagumba wanalilia watoto, wasio wagumba wanatoa mimba na kutupa watoto chooni. Wenye mialiko mingi hawana nafasi ya kwenda na wenye nafasi hawana mialiko.
Wasio na kope wamejikubali kama walivyo, wenye kope wanavaa za bandia. Anayepewa upendo hauthamini asiyependwa analilia upendo.
Wenye amani wanaomba vita na kutishia machafuko, wenye vita wanalilia amani.
Mwenye nafasi ya kusoma na ada analipiwa hataki shule wala haitilii maanani, mwenye kiu ya kusoma hana ada.
Ni kama binadamu hajui anachokitaka hivyo hata akipata alichodhani anataka bado haridhiki kwani sicho hicho anachotafuta.
CHA KUSHANGAZA
1. Hicho unachokidharau Leo ndicho kilikuwa kinakuliza jana na kukunyima usingizi.
2. Hayo unayotafuta Leo pia kesho hayatakuwa na mashiko kwako.
MAISHA NI FUMBO LILILOSHEHENI VIFUMBO* KAMA MFALME SULEIMAN ALIVYOSEMA " TUNAFUKUZA UPEPO" ambao hatutakaa tuukamate!!
SHUKURU KWA UHAI. VINGINE VYOTE VINATHAMANI USIPOKUWA NAVYO, UKIVIPATA THAMANI YAKE INAISHIA HAPO. HIVYO USIRUHUSU VIKAKUTAWALA
Niwatakieni maisha mema
NA MUWE NA WEEKEND NONO HUKU MKILITAFAKARI FUMBO HILO
Unapomaliza kutatua tatizo,huwa umezalisha tatizo jingine hapohapo.Ulitamani watoto ulipo wapata wakakuletea kuongezeka matumizi kuliko kipato na hili limekuletea mbio zisizo isha aidha hata unapotaka kupumzika makelele na kero zao hazikuachi.Mkeo alikuwa malaika ulipo mwoa,leo ni chanzo chako cha maradhi na sononi.Kumbe tunapambana na adui tusiye muona wala kujua yupo upande gani.Asante mkuu Mshana kutukumbusha ukweli huu
Hekima za ki- Mungu. Na muda mwingine si vema kupata jibu kwa kila jambo,kwa maana majibu mengine ukiyajua yatakuchanganya na kukuvuruga.Ni kama binadamu hajui anachokitaka hivyo hata akipata alichodhani anataka bado haridhiki kwani sicho hicho anachotafuta.
You naired it[emoji106][emoji106]Rogers, Happiness will never be attained simply because it does not exist. It never has and never will.
We have a temporary pleasure that keeps us move back and forth.
-
The only happiness is found in death , nothing makes humans PERFECT than death. It needs a lot of mind to realize it.
-
The truth is , Life on earth does not make any sense for those who contemplate.
-
The struggle for power, Money , beauty, fantasy , family etc etc; with all that; only to realize that WE ARE WORMS [emoji218] FOOD . THINK.
-
Imagine the struggle you had to make your life a better place on earth; BOOOM! Car accident, Heart Failures, Kidney Disease. BOOM ! Cancer, Diabetes, , BOOM , Death !
You start smelling fishy and horrible in a second. In addition to that , thousands of Micro organisms are waiting for you to destroy to the bones [emoji3090] .
Think of it because one day it will be true, matter of time, Captain!
-
My life, My Purpose On earth. Thousands of people die everyday without knowing the ultimate purpose for their presence, do you ?
-
What makes others leave ;what makes us stay?
-
WHAT IS THE TRUTH ! ?
-
To my surprise, even if you take spirituality as the matter of life and death, still nothing makes PERFECT sense , and nothing has been proven to be true.
-
Islam claims Muhammad is the only way to heaven, that is very true based on Islamic teachings. Christianity claims that Jesus Christ is the way and the only way to our Lord. Further, the Jews claims that Judaism is the chosen faith and they have come to light the light to mankind.
-
In view of the above, Budhaism claims the Manifestation of the power within. The budha teachings keep indicating that we have all keys to know the ultimate TRUTH and purpose of our own destiny on earth through Oneness and Reincarnation by realizing that the one looking at you through my eyes, and the one looking at me through your eyes is THE SAME ONE [emoji3516].
-
However, Non of those claims have been proven to be true beyond the reasonable doubt. To that matter we will never get to Conclusion regarding the true faith even we are presented with fact and evidence against our faith—COGNITIVE DISSONANCE !
-
Life on earth is a mystery , comes from mystic consciousness. The truth about life and death yet to be revealed, and the Happiness itself does not exist at all . It is just a Myth—something never happened, but it happens always!
THINK ABOUT IT.