Kama kudanganya watu umedanganya sana na bado unaendelea. Utaacha lini?Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri
Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA
Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !
Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .
Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
Usiongee kwa kulalamika. hakuna mwenye wajibu wa kukusaidia kwenye hii dunia. Mafanikio ni mapambano binafsi! Inawezekana husaidiwi kwa sababu ya kauli kama hizi za kufikiria kwamba "waTanzania" walioko majuu wana wajibu wa kukusaidia. Haiko hivyo.Tukuulize nini sasa wakati tukitafuta hata connection za kwenda huko mnatubania.
bora wapopo na wakenya wanasaidiana. Mibongo ubinafsi mwiiingi
Unarud Lin BukobaMimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri
Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA
Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !
Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .
Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
Siyo lazima afunguke kila kitu, hapo kaongea kwa kifupi tu.Usiongee kwa kulalamika. hakuna mwenye wajibu wa kukusaidia kwenye hii dunia. Mafanikio ni mapambano binafsi! Inawezekana husaidiwi kwa sababu ya kauli kama hizi za kufikiria kwamba "waTanzania" walioko majuu wana wajibu wa kukusaidia. Haiko hivyo.
Sasa mtu analazimisha nimuulize ulize nini sasa?Usiongee kwa kulalamika. hakuna mwenye wajibu wa kukusaidia kwenye hii dunia. Mafanikio ni mapambano binafsi! Inawezekana husaidiwi kwa sababu ya kauli kama hizi za kufikiria kwamba "waTanzania" walioko majuu wana wajibu wa kukusaidia. Haiko hivyo.
Hahahaaaa... Tutajuaje kama Yuko ughaibuni.Mbaya zaidi anataka maswali lakini ku connect watu wengine na wao wafike huko Norway,Lativia,Sweden, Luxembourg hataki.hahahaYani Mimi tena ndo nikuulize? Kwani Nani mwanzo kakuuliza unaishi wapi?
We jamaa mbona ulisema upo NorwayMimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri
Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA
Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !
Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .
Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
Hii story imejaa mifupa Haina nyama,hapo ulipotaja miji na nchi mwingine anaweza akaweka majina mengine kama masasi,kyelwa,mtambaswala na story itakuwa Haina tofauti zaidi ya majinaMimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri
Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA
Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !
Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .
Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
Boss punguza makasiriko mbona humu Wana wanatupa Sana njia za kutoboa,mfano mwezi uliopita Kuna mtu kaleta Uzi ametushauri vijana kutumia fursa ya congo kujiunga EAC jamaa katushauri tukifuga wanyama mfano mbuzi,kulima mazao ya chakula tupeleke Kule tunatoboaSasa mtu analazimisha nimuulize ulize nini sasa?
kuji show off kwamba katembea sana?
Kwani huko hakuna fursa za ku connect wengine? mpaka mkija ndio.mtupe vistory vya ughaibuni tuwaone miungu watu?
Fanyeni mambo muache legacy ya kukumbukwa na vizazi vingi, sio vistory vya umbea umbea.
I'm out
Mkuu nimekutext pm hujanijibu dah [emoji22]. Kweli bongo bahati mbaya bora kila mtu apambane separately tuMimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri
Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA
Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !
Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .
Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Congo ipi unayosema?. Watu tunataka kwenda marekani braza we wa wapiBoss punguza makasiriko mbona humu Wana wanatupa Sana njia za kutoboa,mfano mwezi uliopita Kuna mtu kaleta Uzi ametushauri vijana kutumia fursa ya congo kujiunga EAC jamaa katushauri tukifuga wanyama mfano mbuzi,kulima mazao ya chakula tupeleke Kule tunatoboa
Yeye jukumu lake limeishia hapo kilichobaki ni sisi kupambana,hat huyu mleta mada hawezi kukushika mkono akupeleke ulaya Bali anaweza kukusaidia ukishafika wewe Kule kwa gharama zako na kukuelekeza michongo
Ok mkuu hebu tueleze Latvia wanaongea lugha gani na sarafu yao inaitwaje? Ipo kwenye European Union? na viza yake inapatikana wapi?Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri
Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA
Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !
Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .
Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
Nahisi jibu utakalopewa ni njoo PM na huko mchongo utabadilika kwenda kwenye kulipishana pesa ndogo kwa jamaa mwenye connection.Ok mkuu hebu tueleze Latvia wanaongea lugha gani na sarafu yao inaitwaje? Ipo kwenye European Union? na viza yake inapatikana wapi?