Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Dini ni kile mtu anacho kiamini na kuki abudu,kwa maana hii tunapata makundi matatu ambayo ni waislam,wakristo na wapagani.Wakristo pamoja na waislam wana amini uwepo wa mungu wakati wapagani wao hawaamini hilo.Lakini dini zinazo tambulika ni uislam na ukristo,ambao hawaamini uwepo wamungu hawana mda wakupoteza kufuatilia dini,na kwa upande wa pili (wanao amini uwepo wa mung) wamegawanyika pia kuna walio amini tu lakini hawafuatilii dini na wale ambao wameani na wanajitahidi kwenda misikitina na makanisani kwa ajiri ya kumuabudu mungu.
Shida ipo kwa wapagani pamoja na wale walio amini tu lakini hawahudhurii katika nyumba za ibada,katika kundi hili wapo pia wanaojitahidi wasijulikane wapo dini gani ila mwisho wasiku wataungana na wapagani bila kujijua.Shida kubwa inayo wapata wapagani pamoja na ndugu zao ni kipindi wanapofikwa na umauti,hii ni kwa sababu mwanadamu anapo kufa huzikwa kwa taratibu za dini husika,ni kimaanisha muislam huzikwa kwa taratibu za kiislam na mkrito huzkwa ki kristo so kwa mtu ambaye hajulikani kama ni muislam au mkristo hudharirikaga sana pindi anapopatwa na umauti.
Naandika uz huu kwa tukio lililotokea juzi kati hapa mjini maeneo ya bar,ambapo mtu kapatwa na umati baada ya kunywa pombe kupita kawaida na hajawahi kuhudhuria nyumba ya ibada zaidi ya kuhudhuria katika vilabu vya pombe aki enjoy maisha.Alivyofarik waislam walishindwa kumzika wakihisi ni mkristo na wa kristo walishindwa kumzika kwa hofu kuwa ni muislam baada ya ile maiti kukaa mda mrefu pale guest house boss aliwaamuru walevi wakamzike mwezao.Wale walevi wali mbeba kama agizo la boss na kwenda kumfukia katika shimo.
Binafsi tukio hili lilinigusa na kugusa jamii nzima pale dini ziliposhindwa kumtambua yule marehem,pia inaonyesha umuhim wakutambulisha dini zetu hususani tunapokuwa ughaibuni.