Maisha matamu lakini mafupi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha matamu lakini mafupi

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bujibuji, Oct 30, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Inakuwaje tena unaogopa Mbuzi Mzee? yale majani yote uliyokula leo ndo utayalipia sasa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. M

  Murashani GALACTICO Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwana bujibuji nambie picha ya hiki kitabu umeitowa wapi? Kama unachosema ni shs ngapi nikupe uniuzie coz ninakitafuta ile mbaya
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hiki kitabu sijui nimekipotezea wapi mungu wangu.
   
 5. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Nimemuona nacho mwanangu sasa hivi kapita nacho mbio aliniambia anajisikia haja ndogo, ngoja nikamwangalie asije akaniletea maandamano humu ndani bure.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  Nilienda Tanganyika Library, nao hawana.
  Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuwa na maktaba nyumbani
   
Loading...