Maisha mapya katika nchi za watu

kama bro wangu yuko uko kazi yake ni kuosha ma swimming pool anapiga magonga mbaya kabisa!!ila kibibi alichokioa kibaya kizee kinavaa adi meno ya bandia.daahh maisha haya improvise sana
 
chai
 
 
Mtoto wa kike alizaliwa, Henry akawa baba. Alianza kulipa child care na bills nyumbani alimsaidia mama. Mortgage ilikuwa inatoka kwenye mshahara wa mama.

Mke wa Henry huku nyumbani alikiwakisha. Umeoa kila mtu anajua unanifanya mimi mpumbavu, picha za baby shower zinazunguka duniani.

Mmoja katika jamaa aliiofanya nao kazi bank alimuoa mke wa Henry. Watoto aliwafungasha na kumkabidhi kaka yake Henry mkubwa.
 
Kazi kweli kweli , Enhee leta uhondo
 
Hizi story zinazoendelea humu naona zinanifunga mota mda wowote na mimi napaa.. Tuendelee. Lete vitu mzee baba
 
Uzi bado unaendelea?
 
Kaka yake Henry alimpigia simu kumfahamisha hali halisi, Henry alumuomba kaka yake atafute shule ya boda nzuri awapeleke watoto, watakua wanarudi kwa uncle likizo.

Baada ya mtoto kuzaliwa Henry alitegemea tabia ya mama itabadilika. Siku moja rafiki wa Henry wamekuja kumona mtoto, Henry alipika, alinunua bia wakanywa, sasa kuna yale maongezi ya jamaa yao na mke wa Henry kule nyumbani wanashindwa kuyaongea pale.

Wageni walipoaga wanaondoka, Henry alitoka nao wakamalizia maongezi bar. Walitandika tungi mpaka saa nne usiku. Henry alitoka akijua mama yupo ndani hakubeba funguo.

Aliporudi saa nne usiki mama aligoma kufungua mlango. Henry aligonga mwisho ilkua kero kwa majirani. Hakua hata na funguo za gari, bahati nzuri alikua na simu. Alimpigia mmoja wa rafiki zake alimchukua mpaka kwake akalala huko.
 

Afadhali tunajiliwaza huku
Kule @Keagan Paul katukazia
 

Wenye data hafifu tukomee wapi
 
Sky tunafatilia kwa ukaribu leta muendelezo,
 
Madam na wewe unatuletea za ITAENDELEA 😀😀
 
Ameingia kwenye tanuru la moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…