maisha magumu

maisha magumu

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,539
mswahili.jpg
32170_394479920648754_1038338354_n.jpg
 
Taiti sana umeme juu na kilakituu juu sasa ivi lazima maisha yapande
 
ha ha haaaaa i did that before kuchokoa mswaki kwenye tube ya dawa au chupa ya cream unaikata kama hivo unahakikisha inakuwa nyeupeee kavu hapabaki kitu :wink2:
 
Kaka hizo picha haziendani na ujumbe wa vitendo. Wakati vitendo vinaashiria ufukara, mazingira vitendo vinapofanyika hali ni njema. Mfano ceramic washing basin na looking mirror kwenye picha ya kwanza, wakati picha ya pili kuna sufuria la nguvu ambalo lnang'aa ikiwa na maana haijaipikiwa kuni. Mtoto hana hata viraka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom