kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Mar 1, 2011 Thread starter #21 wewe unahisi kuvuliana nini? Katavi said: Haijakosewa wala nini! Utata unakuwa ni hapo katika kuvuliana nini. Click to expand...
wewe unahisi kuvuliana nini? Katavi said: Haijakosewa wala nini! Utata unakuwa ni hapo katika kuvuliana nini. Click to expand...
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,429 Mar 1, 2011 #22 Mkiangalia vizuri kuna mkunjo baada ya 'vu' kwahiyo kanga inasomeka kuvumiliana sasa wajanja wakakunja 'mi' ili isomeke kuvuliana.
Mkiangalia vizuri kuna mkunjo baada ya 'vu' kwahiyo kanga inasomeka kuvumiliana sasa wajanja wakakunja 'mi' ili isomeke kuvuliana.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Mar 1, 2011 #23 siku bibie kakuta msgs za kimada tuligombana sana asubuhi yake tumeamka tu nikakuta kavaa kanga imeandikwa UTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE
siku bibie kakuta msgs za kimada tuligombana sana asubuhi yake tumeamka tu nikakuta kavaa kanga imeandikwa UTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE