Maisha hubadilika sana imekuwa aibu

Maisha hubadilika sana imekuwa aibu

Mbona mimi sijawahi kukutana na hao wanawake wanawatoa wapenzi zao out na kutoa allowance. Au ni story za kusadikika? Au ni 1 kwa 100 lakini inatumiwa kutoa general conclusion?

NB: Zama hazijabadilika ila ni kua hela ya mwanamke inamuuma sana kuitoa kwa mwanaume, ile information ya kutoa hela inakua stored katika central brain. Hakuna mwanaume anaekumbuka kiasi gani alitumia ndani ya siku 10 kwa mpenzi wake ila mwanamke anakumbuka 10000 aliyotumia miezi 24 iliyopita kwa mpenzi wake.​
 
Zamani wadau wa humu wadada wa Dar walikuwa wanatriki zakumtoa mtupesa hadi jiji likaitwa Kaa chonjoo kisa wakina dada walivyowajanjaa nakuweka triks zakuwachukulia wakaka na wababa pesa unakupuliwa hadi unalia.

Unalaani hadi unasahau ila kwa sasa nitofauti wakaka ndio wanahongwa kila kitu tena hadi wao wanakataa.

Hii ni aibu kwa sababu kama mwanaume anapelekwa salon kwa hela ya mdada basi tena ndio maisha ni hataŕi danger.

Jingine kama mwanaume analia kisa hajatolewa outing na mwanamke hii sijui tuiteje . Eti ananuna kisa hajapewa allowance hii nikali unakula kwa hela ya mwanamke huna hata wasi wasi bado unafumaniwa na vichoka mbaya.

Hii hatari danger, sasa nilini mtautambua jinsia zenu msimame kama vijana kamilifu na kuhudumia wanawake zenu?
Seriously unazira kisa hujatolewa out zamani ni wakina dada ndio walikuwa wanafanya triks yakuwachuna wakaka leo wakaka ndio wanafanya tricks kuwa chuna wadada.

Seriously hii inasikitisha . [emoji41][emoji41][emoji848][emoji17][emoji17] inasikitisha Ushimen hebu nisaidie
Ukiwa makmuga kubali yote
 
Mnawaendekeza nyie ...hapo ana kibabu akichukua wanagawana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nifundishe kunyamaza baba. Vijana wanadanga balaaa. Hakuna cha mkoa wala dar. Kutwa kujiliza matatizo... kutwa kujivinbisha huku ila back ground mambo ni tofauti

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mambo yao yasikuumize kichwa...

Mmbo ya haki sawa 50 / 50
 
Mbona mimi sijawahi kukutana na hao wanawake wanawatoa wapenzi zao out na kutoa allowance. Au ni story za kusadikika? Au ni 1 kwa 100 lakini inatumiwa kutoa general conclusion?

NB: Zama hazijabadilika ila ni kua hela ya mwanamke inamuuma sana kuitoa kwa mwanaume, ile information ya kutoa hela inakua stored katika central brain. Hakuna mwanaume anaekumbuka kiasi gani alitumia ndani ya siku 10 kwa mpenzi wake ila mwanamke anakumbuka 10000 aliyotumia miezi 24 iliyopita kwa mpenzi wake.​
Sasa ndio mpango mzima huko dar
 
Zamani wadau wa humu wadada wa Dar walikuwa wanatriki zakumtoa mtupesa hadi jiji likaitwa Kaa chonjoo kisa wakina dada walivyowajanjaa nakuweka triks zakuwachukulia wakaka na wababa pesa unakupuliwa hadi unalia.

Unalaani hadi unasahau ila kwa sasa nitofauti wakaka ndio wanahongwa kila kitu tena hadi wao wanakataa.

Hii ni aibu kwa sababu kama mwanaume anapelekwa salon kwa hela ya mdada basi tena ndio maisha ni hataŕi danger.

Jingine kama mwanaume analia kisa hajatolewa outing na mwanamke hii sijui tuiteje . Eti ananuna kisa hajapewa allowance hii nikali unakula kwa hela ya mwanamke huna hata wasi wasi bado unafumaniwa na vichoka mbaya.

Hii hatari danger, sasa nilini mtautambua jinsia zenu msimame kama vijana kamilifu na kuhudumia wanawake zenu?

Seriously unazira kisa hujatolewa out zamani ni wakina dada ndio walikuwa wanafanya triks yakuwachuna wakaka leo wakaka ndio wanafanya tricks kuwa chuna wadada.

Seriously hii inasikitisha . [emoji41][emoji41][emoji848][emoji17][emoji17] inasikitisha Ushimen hebu nisaidie
Mla huliwa hujai iskia hii kanuni.?!


N'way binadamu wenye jinsia ya kiume waishio Darisalama na viunga vyake wamekuelewa.
 
Back
Top Bottom