Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
Kabisa, ushaur mzuri huu.Kuna level ya maisha ukifikia don't drive your own car. Ajiri a professional driver
Kwamba ukiendeshwa na driver ndio huwezi kufa kwa ajali?Kuna level ya maisha ukifikia don't drive your own car. Ajiri a professional driver
Mkurugenzi Tanesco alifariki kwenye ajali akiendeshwa na professional driverKuna level ya maisha ukifikia don't drive your own car. Ajiri a professional driver
Kuna level ya maisha ukifikia don't drive your own car. Ajiri a professional driver
Usimwajiri tu Dereva mwajiri na UMSIKILIZEMkurugenzi Tanesco alifariki kwenye ajali akiendeshwa na professional driver
Kifo hakiepukiki wala hakikwepeki
Maisha Komanyokosometimes maisha yanakua fvcking meaningless.
yani maisha ni kama hadithi tu ya tangu uzaliwe hadi utakopokufa.
Upo sahihi kabisa ila mara moja moja wanaendeshaNdio maana matajiri wengi huendeshwa.
Huyo dereva angezuia tairi kupasuka?Kuna level ya maisha ukifikia don't drive your own car. Ajiri a professional driver
Umesikia chanzo cha ajali lakini?Kabisa, ushaur mzuri huu.
Moja ya shauri yenye busara sana na ndivyo inavyo takiwa haswa.Kuna level ya maisha ukifikia don't drive your own car. Ajiri a professional driver
Inasemekana gari lilipasuka tairi kitu ambacho ni purely ajaliKuna level ya maisha ukifikia don't drive your own car. Ajiri a professional driver
Haijalishi mimi ninezingatia ushauri wa mleta uzi, kwani ni ushauri mbaya??Umesikia chanzo cha ajali lakini?