jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 480
- 640
Pole mkuu... Lakini nakushauri ungemfikisha shemeji kituo chochote cha polisi kilicho karibu yako ukamrest,
Swali kubwa la msingi hapa ni, je ulifanya nini cha maana ambacho kingekusaidia leo wakati ulipo kua na ajira?
Nakumbuka miaka ileeee nilipokua nimeajiriwa, nilikua nikiwaza hii kitu kilasiku.Hili swali wengi tuloajiriwa huwa hatujiulizi.
Ulifanyaje mkuu ukawafanikiwa mana me nimeanza kazi miezi 3 sasa.Nakumbuka miaka ileeee nilipokua nimeajiriwa, nilikua nikiwaza hii kitu kilasiku.
Leo ninamshu Mungu wetu kwa huu wema alio nitendea haki.......
Pale mwanzo kabisa nilikua ninakula na kufuja pesa yote yenye nilikua nikiipata.Ulifanyaje mkuu ukawafanikiwa mana me nimeanza kazi miezi 3 sasa.
Hongera sana nimejifunza kitu kwa hili mana nilikuwa niwe nasave pesa kidgo kwa mwezi ili mkeka ukichanika niweze kuendelea na mambo menginePale mwanzo kabisa nilikua ninakula na kufuja pesa yote yenye nilikua nikiipata.
Baada ya kujitambua, nikaamua kujiwekea malengo na kisha nikaanzisha kibanda cha kuchoma mahindi wakati bado nikingali kwenye ajira.....
Baada ya hapo, nilifukuzwa kazi na hapo ndipo nilipo amua kukaa mwenyewe kwenye kibanda changu cha kuchomea mahindi.
Mwanzo nilipata tabu sana pale mwanzoni, lakini leo nimekua poa na very busy man.
Kwakweli sasa ninapata pesa...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Yaanh ni kweli kabisa..kusave inasaidia sanaPole sana ila Ndugu kuweka akiba na malengo katika maisha yetu ni vizuri sana sema vijana wa siku hizi tunapenda maisha ya kuigiza [fake] sana kumbuka kuna wenzako wamemaliza vyuo miaka zaidi ya mitano tena bila kazi na maisha yanaenda.
Kabisa sema unakuta kama huyu ndugu yetu anakimbilia mwanamke bila kupiga hesabu mbeleni kuna maisha baadaya kazi tena wanawake wasiku hizi uvumilivu zero kabisa wekeza ata kununua viwanja,mashamba na miradi mingine midogomidogo.Yaanh ni kweli kabisa..kusave inasaidia sana
Yaanh kuwekeza + ubahili + malengo inasaidia ...me nimeanza kazi na miezi 3 sasa ila bila kusave+ ubahili malengo hufiki mbali ikizingatia kazi zenyewe ni za mudaKabisa sema unakuta kama huyu ndugu yetu anakimbilia mwanamke bila kupiga hesabu mbeleni kuna maisha baadaya kazi tena wanawake wasiku hizi uvumilivu zero kabisa wekeza ata kununua viwanja,mashamba na miradi mingine midogomidogo.
Kawaida sana hiyo hali kutokea; wengine hudharauliwa hata na mama zao wazazi baada ya kuishiwa!!! Chamsingi pamoja na magumu yote unayopitia unapaswa kutokata tamaa!! “Never give Up” keep on struggling!!!! utafanikiwa tu.Wakubwa babar zenu
Short story..
Baada ya kumaliza chuo nikiwa na shilling million 2 nikajarubu kufanya biashara nikazulumiwa pesa yote.. Girlfriend wangu akanifarij nikasahau yote nikasonga mbele
Baada ya Muda mrefu kupita nikapata kazi sekta binafsi Baadae nikaaacha Baada ya kupata kweny maslai zaid
Sehemu niliyo ipata walikuwa wananilipa vizur sana.. Shemej yenu alikuwa anapewa anachotaka.
Maisha kwa ujumla yalikuwa Mazur.. Kumpa mtu elffu kumi mpaka laki Kwang ilikuwa Kitu cha kawaida..
Familia nilisaidia Kadri nilivyoweza, hasa wadogo na mzazi wangu..
Baadae kampun niliyo ajiriwa ikaja kufungwa na serikali na wale wazungu wakalud kwao
Aisee hapa nilipo Nina miez 9 Niko home nasaka job.. Girlfriend wangu akasepa hanitak tena
Nimekuwa mtu mweny mawazo sana.. Nakosa Ata pesa ya bando.. Kwa kifup apa nilipo Nina buku Tatu...tu..
Nina mengi ya kusema naona Ninyamaze... Kuna watu Wanamatizo zaidi yangu
Walimwengu walisema cha msingi uzima.
LAKINI
Maisha hayana formula JAMANI....
Kijana, achana na betting.Hongera sana nimejifunza kitu kwa hili mana nilikuwa niwe nasave pesa kidgo kwa mwezi ili mkeka ukichanika niweze kuendelea na mambo mengine
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kabisa Ndugu ila siku zote tunajifunza kutokana na makosa.Yaanh kuwekeza + ubahili + malengo inasaidia ...me nimeanza kazi na miezi 3 sasa ila bila kusave+ ubahili malengo hufiki mbali ikizingatia kazi zenyewe ni za muda