del moe JF-Expert Member Joined Apr 4, 2016 Posts 827 Reaction score 1,028 May 19, 2019 #41 Jambo zuri zaidi jitenge na yasiyo kuhusu
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,809 Reaction score 95,726 May 19, 2019 #42 Witmak255 said: Haha umeamkaje lakini? Click to expand... Sijambo sijui wewe
Witmak255 JF-Expert Member Joined Feb 5, 2019 Posts 3,264 Reaction score 5,450 May 19, 2019 #43 Meeyah said: Sijambo sijui wewe Click to expand... Huku baridi SI mchezo
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,809 Reaction score 95,726 May 19, 2019 #44 Witmak255 said: Huku baridi SI mchezo Click to expand... Huku pia baridi
casanova69 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 2,417 Reaction score 2,274 May 19, 2019 #45 Dripboy said: "Wanao jikweza watashushwa na wanaojishusha watainuliwa" Click to expand... Imeandikwa pia,ufalme wa mbinguni utatekwa na wenye nguvu.
Dripboy said: "Wanao jikweza watashushwa na wanaojishusha watainuliwa" Click to expand... Imeandikwa pia,ufalme wa mbinguni utatekwa na wenye nguvu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,921 Reaction score 197,492 May 19, 2019 #46 Ni kweli kabisa... usemayo... ukiwa mnyonge kila mtu atakufanya ngazi ya kukanyagia... Cc: mahondaw