Maisha hayahitaji unyonge

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,204
Reaction score
14,393
Binafsi nilichagua kuwa mtu wa peace and love. Kwa muda mrefu nimekuwa mtu mpole na mkimya hata pale inapotokea mtu kunikwaza siku zote nimekuwa wa kujishusha kwenye hali zote nazopitia.

ila nilichogundua ni kwamba ukiwa mnyonge haifanyi watu wakuheshimu Bali kukudharua na kila mtu atataka kugeuza kama ngazi ya kukupanda.

Nafikiri dunia imebadilika na ni muda wa Mimi kubadilika. Utachonifanyia na Mimi ntakufanyia hicho hicho. Ubaya ubayani.
 
Upole uliopitiliza ni ujinga.bora uwe mkimya ila sio mpole.Ukiwa mpole sana unageuzwa kondoo.Maisha ya sasa yanahitaji mpambanaji na cruel kidogo ili mambo yaende.
Unageuzwa fala.
 

na hii ni kwa watanzania,hata ukiwa nje ya nchi jiyo tabia wanayo,watanzania wengi kwa nini hatuendelei kuna vitabia tunavo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…