Just imangine wewe ni kijana wa miaka chini ya 30, hujaoa na una kazi nzuri tena unafanyia posta Dar es Salaam. Mshahara ni take home kama 2M hivi na unakaa either sinza or kigamboni.