Maisha haya nipo mwenyewe

Umejiaminisha hivyo (self fulfilling prophecy).Hata watu wakiingia kwenye maisha yako,automaticaly unafanya namna ya kujiondoa/kuwaondoa.Kama haikuathiri we endelea na maisha yako.
Na ndivyo inavyokua hivyo, umenena vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…