Maisha haya kosi maswali wapi ulipopata taarifa.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,955
Reaction score
15,115
Kabla ya redio ukieleza habari utaulizwa hayo mambo umeyatoa kwenye vitabu.

Ilivyokuja redio ukieleza utaulizwa umeyatolea kwenye redio.

Ilivyokuja TV nayo hivyo hivyo.

Ilipokuja internet nalo swali linakuja umeyatolea kwenye mitandao.

Imekuja AI bado wanauliza lile lile swali.

Sasa wewe mwenye akili kama wasira ulitaka watowe wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…