sijui nifanyeje kumkomboa mtanzania wa aina hii anayedanganywa kutoa kura kwa sisiemu ccm kila wakati na maisha yake hawayabadilishi....Mungu wasaidie watu wetu hawa! maisha bora kwa kila mtanzania ni kwaajili ya watu wepi sasa, walioko mjini maisha magumu, kijijini ndo usiseme.
ngoshwe;93anayozlisha pamoja na mifugo yake inatumika kumjengea Gavana wa benki kuu palace inayoghalimu mabilioni ya
[URL="http://nienga.blogspot.com/" said:
Haya ndio maisha halisi ya mtanzania wakati kodi anayolipa kutokana na mazao na mifugo yake inatumika kumjengea Gavana wa benki kuu jumba linaloghalimu mabilioni ya shilingi!! Je viongozi wetu wana akili kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.