Maisha halisi ya Burundi

Ngoja na mimi nifunguke .............

Burudhi ni nchi masikini sana yaani eneo lenye bata ni kama asilimia 5 tu ya nchi yaani bujumbura (ukubwa wa robo dar ) na vimiji vingine viwili ukubwa wa makambako ,ila bujumbura patamu ,maisha ni cheap sana kutokana na pesa yetu kuwa juu kidogo ya yao tshs 79000= 100,000 br hivyo ukilala lodge ya elfu 25,000 asee ninzuri balaa hadi fridge ,ila burundi centre ni aghali sana mahoteli ,ushauli wangu nendeni NIWAKALI hotel ipo bwiza ,inaulinzi balaa hata ukichukua malaya huingii naye kama hana kitambulisho na wanaki retain hadi uthibitishe uko salama na umeruhusu.

USWAZI BWIZA (MANZESE YA BUJUMBURA

0


Warundi wengi sio waaminifu mfano usipande tax kabla hamjaelewana bei atakutoza bili utakimbia na wagonvi sana ,wakijua ww mtanzania wanajua umekuja kula bata au mnunuzi wa madini kuwa makini sana ,chakula kizuri ni ugali/ndizi na mishkaki yao maalumu inaitwa MICHOPOO inaseviwa na vitunguu vyeupe


MA-BEACH MAZURI BUJUMBURA



Hii inaitwa borabora beach ni nzuri balaa ,hapa wanaenda warudi wenye pesa magari utayoona ni latest na makali sana ,nyingine ni sagaplashe hii changanyikeni vitoto vizuri vya uswazi vimejaa wengi wanasura za wastani ila kiuno bonge la zigo ,lakini pia kwa dada zetu huwasifu warundi hususani waliochanganyika na watutsi ni mahandsome sana na wako masculine .


kuna club yao nimeisahau jina hii hapa ila nusu ya watu ni wazungu halafu hauruhusiwi kuingia na sandles wala singlet



Namengi ya kusema juu ya bujumbura niishie hapo
 

mkuu asante sana kwa travel guide hii murua,
binafsi nimevutiwa kwenda huko kupunguza stress za vyuma vya hapa tz
Nataka msaada mmoja unisaidie, kwasababu nina likizo ndefu nataka wakati wa kwenda niende kwa njia ya barabara kurudi ndo nirudi kwa flight, je unainformation zozote za usafiri wa nchikavu na je gharama yake maximum itakuwa Tsh ngapi kwa usafiri na huduma ya malazi na chakula kwa week moja itakuwa ngapi
Natanguliza shukurani
 
November hii na December nipo mkoa wa kagera njoo nitakutembeza Burundi, Rwanda
Sitakuomba gharama yeyote kwasababu nipo na kazi nafanya mipakani Rusumo border ya Rwanda na Kobero border ya Burundi na mara nyingi napenda kulala upande wa pili kwasababu ukiwa m TZ wanakukirimu sana
Kwa zaidi kama upo serious njoo pm
 
Aisee unanikumbusha mbali na ulokole wangu unataka kunirejesha huko ukimpa demu faranga 20000 ni demu wa maana
Nimekula wasanii Bujumbura wewe acha tu
 
Changamoto ni zipi mkuu?
 

Mzee una dharau sana...

Una uhaya fulani hivi wa kishamba sana....

Unaongea as if sio wanadamu...as if unakaa Ulaya..

Motherfu.cker you are in this shithole TZ!
 
Daah mkuu funguka....biashara zinazolipa pale?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini hakuachi?
Wanapenda wa TZ kwa sababu wanaamini wakiwa TZ wana uhakika wa kuwa huru, na kufanya shughuli zao Kilimo na Ufugaji naona haya ndio yanawafanya kutupenda wa TZ.
Maana Burundi wanawake ni wengi sana hakuna ardhi ya kilimo wala Ufugaji watu ni wengi.
Sensa ya 2010 ilionyesha Burundi ina raia 10,450,901

Wanaume 4,650,700
Wanawake 5,800,201
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…