Maisha halisi ya Burundi

Pole kwa kudhani kila mtu ni muhudhuriaji wa hayo maeneo. Kwa kifupi tu kuanzia afisa uhamiajj niliyekutana naye airport alitengeneza mazingira ya kuniibia akifuatiwa na kijana aliyekuwa akinisaidia kubeba mizigo ndani ya airport. Wenyeji wangu nao wakatengeneza mazingira ya kuniibia. Madukani na sokoni nako balaa kila mmoja alikuwa akipandiasha bei ya bidhaa aligundua mimi ni mgeni. Nikienda Bwiza kwenye klabu zao wauza michopoo na brochet nao ni wizi mtupu. Ukienda kwa wavunjai barabara ya saba ni wizi. Mwanamke niliyekuwa nikimuamini na kulala naye ndio akaniibia Faranga 7,000,000.Hoteli niliyofikia pale Buyenzi barabara ya nane namba 23 ndio iliwekwa chini ya ulinzi kabisaa na majambazi. Hao wa makanisa ndio kila siku walikuwa wakinifata niwape hela za ujenzi wa kanisa lao. Sasa we ng'ombe wa kirundi hapo umeona wapi vilabu vya gongo na madanguro katika mtiririko wa maelezo yangu?
 

Mkuu St. Paka Mweusi pole kwa yote yaliyokusibu kaka, katika nchi zetu za Kiafrica hayo ni yakawaida sana.
 
Asante sana kaka, ila kiukweli sitaisahau hiyo experience katika safari zangu kaka

Mi miaka ya zamani nilipeleka bidhaa Mbeya, nilikuwa ninafikia Guest house flani hivi pale uyole inaitwa Uyole Guest, siku moja walivamia majambazi room to room ila nilibahatika kuvuka salama, maana nilifika pale nimechelewa sana na hamna room, wale wadada kwa vile wananifahamu sana ni mteja wao mzuri. Wakatoa mashuka machafu na mataulo wakanipa chumba cha uani sana wakaweka godoro tu ili pakuche, kutokana aina ya chumba kuwa kwenye vyoo vya nje hawakufika na hapa nilikuwa na 4.5M enzi za Mkapa hizo. Kwenye nchi zetu za Kiafrika kila mahala yapo
 
mkuu funguka basi litakuwa jambo jema
 

umelenga mule mule , nafanya kazi in and out bujumbura nipo kigoma ,,, hujakosea mkuu , hasa umalaya . mrundi hana kawaida ya kumkatalia mtu na wanapenda starehe sana . vitu wanavyopenda warundi ni mavazi ,,, chakula kama wali , i mean mchele w kutoka tanzania . hawapendi kufanya kazi wakina mama zaidi ya kufanya vibiashara vya hapa na pale ,,,,, ukiwa disco usishangae mwanamke akakutongoza na ukikubaliana naye ukamuacha na kutongoza mwingine ,,, maisha yako yapo rehani.

kwa sisi wana kigoma , burundi ni sehemu muafaka sana kuendesha maisha , kwani bidhaa zetu tunanunulia burundi hasa mahitaji ya nyumbani mfano ,,, nyama kigoma tanzania kilo tshs6000/7000 ,,, burundi mugina tshs4000,,, maharage kg tz tshs1800 ,,, br tshs1000 . simu ndiyo usiseme bei ya tz na burundi kwa simu ile ile , tofauti unaweza kukuta tshs 30000/=. mwezi jana nimeacha change ya pesa ni tshs 10,000 kwa fr 11,500/=.

tatizo la kupitisha vitu border ndiyo changamoto , vitu vichache hutozwi ushuru wa tra , lakini vikiwa vingi unatozwa ushuru . mchele burundi kilo moja ni fr 3000 wakati sasa hivi kigoma ni tshs 1000-1200 kwa kilo ., ukipitisha mpakani chini ya kilo 100 huo ni wa kula hutozwi ushuru ,, mtu anajitahidi kukata mafurushi madogo madogo kwa kila gari anabeba kilo hata 400 kwa mkupuo . kuna makampuni ya mabasi ya hamza transit , burugo travel na luba express , yanayofanya usafiri bujumbura kigoma .
 
Je, mtz ambae hajui Françe unafanyaje kuwasiliana ?
 
Ni weusi na wachafu warundi
Mkuu,kwani weupe ndio uzuri!? Sijui mwenzangu unatoka wapi,lakini wanawake wazuri ni wanawake weusi kuanzia shape zao,sura nk,weupe wanaringia ngozi tu,hawana "lips",hawana matako nk..

Wanawake wa kirundi,Kinyaruanda wazuri sana wanasifika Dunia nzima wanalinganishwa na Wasomali pamoja na Waithiopia..
 
Warundi hapana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…