Maisha halisi ya Burundi

Niliwai kaaa Bunjumbula miezi 3 sehemu panaitwa Kamenge!Watanzania wawili walipata deal- wakanitoa mimi kama sample - mimi nilijiongeza! December 2022 Narudi Bunjumbula with 10M$ projects all from Tanzania wazawa.Hawa 2 Watanzania walinipeleka😀wao wanakuja na Kenya Airways mimi nnaenda na Basi! Ila mimi ndo planner na programmer😄!
 
Namba 6 itanipeleka Burundi
 
Askari alikuambia "HAO NINYI" (hapo ulipo)
Usilete ubishi, simama.
Ukisogeza hata hatua moja unakula risasi na hakuna kesi.
Ukiingia Burundi muogope asikari, usilete ujuaji utaiacha dunia kimasihara,,!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Bora kwetu kaka, yaani kule Demokrasia hata hawaijui, eti ukikuta watu wamekaa lazima utoe salamu ya chama tawala lasivyo unafuatiliwa kuwa wewe ni jambazi
Ndo maana mapinduzi hayaishi huko, Taifa la kipumbavu sana, Afrika ina shida sana
 
Mimi Sina mengi lakin nakumbuka mwaka 2018 kwenye miezi ya mwishoni nilikuwa nasafiri kwenda South Africa nilipitia Malawi na Mozambique. Kwenye bus kulikuwa na M, Burundi mmoja na aliniambia Bujumbura inaingia mala 10 kwa Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…