Maisha club na utoto

Ni kero mkuu, niko bar moja time hii, yaani nyimbo ni za aslay , wasafi, bongo flava. Its too boring, tunatamani genres nyingine, ila madj wengi ni 'washamba'
Nyimbo za Aslay ndo zimetawala kwenye bar nyingi kwa sasa
 
Sure, ila bar zingine inakua ni kero. Huwezi sikiliza 2 hrs nyimbo za mtu mmoja
Nipo kwenye grocery 1 sahivi ni mwendo wa Aslay kwenda mbele, full playlist kuanzia ule Mama hadi huu mpya 'Raha'[emoji16], ila dogo anangoma kali wacha tuenjoy
 
!
!
Sogea Club Legend Kwa Mkongwe Dj Jd
Completely sure, jamaa ana kipaji na ana kua kucheza na haraiki iliyopo. nimecheza Disco lake toka Morogoro hotel (Shimoni), Mambo Club, Billz, Synegy Lounge, Isumba Lounge, Kilimanjaro Hyatt Lounge na sasa Club The Legends. Wazee John Dillinga Matilou is Talented Tuache utani!
 


!
!
Mkongwe Tutakuwa Tume rukia Wote Shimoni Pale Morogoro Hotel.
 
pia unapenda kuchezewa pale katikati ya miguu minene bila shaka...maana club mafisi ni mrngi na huchomoki hata ma nje umepake range. bisha
 
Muziki wa Disco haujawahi kumuacha mtu salama.Bilz ilinoga sana😀😀
 
wengine club ni kudance mwanzo,,,,,vinywaji vipo daily....ila dance umejipangia kila mwisho wa wiki....
 
wengine club ni kudance mwanzo,,,,,vinywaji vipo daily....ila dance umejipangia kila mwisho wa wiki....

In love with music. ....

In love with dance. ...

Ashiki ya mziki ikipanda huwa nacheza hadi taarifa ya habari.... hehehee

Kasie Matata.
 
Y
Hata sikumbuki inaitwaje hiyo club ilikuwa miaka 5 iliyopita. Iko opposite na hotel moja nje ina sanamu kubwa la sato. Bukoba mjini.
Bukoba panaboa sehemu iliyobamba ni moja tu panaitwa Sky
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…