Maisha bora ya CCM

Ni kinyume cha mada uliyotoa.
Ubora wake ni upi hapo ?
 
sera nzuri utekelezaji sifuri...hadi tunafikia hapo
 
Walisema maisha bora kwa kila mtanzani Leo hii uchumi ni mbovu kwa kila mwananchi na ukiwauliza ni kwa nini maisha ni magumu hawajui ni kwa nini jk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…