Mi napita tuu
kwamba hujamuelewa au? Kusoma hujui hata picha hutambui?Mleta uzi tatizo lako njaa tu fanya kazi wacha uvivu umezoea kukaa kwenye vijiwe
Mleta uzi tatizo lako njaa tu fanya kazi wacha uvivu umezoea kukaa kwenye vijiwe
Fanyeni kazi kwa bidii na mafanikio mtayaona.
Mleta uzi tatizo lako njaa tu fanya kazi wacha uvivu umezoea kukaa kwenye vijiwe
Ningekuwa rais ningeagiza vifaa vyote vya operesheni ya tezi dume vinunuliwe haraka na daktari bingwa wa tezidume aletwe nchini haraka kwa gharama yoyote.Kwenda nje kwa matibabu ilhali wananchi wako wanakufa kwa kukosa dawa haileti taswira nzuri hata kidogo!
Fanyeni kazi kwa bidii na mafanikio mtayaona.
Kwa nini ni Africa tu?hao wazungu wamewezaje kufikia kuishi maisha waliyonayo wakati hawana ardhi kama yetu,hawana madini tuliyonayo, hawana mbuga za wanyama tulizonazo na zinazoingiza mabilioni ya shilingi,hawana hata milima km meru na kili,je!wao ndo binadamu sie wengine sokwe?kinachotushinda ni nn? Nini vipaumbele vya nchi?...I'll be back if U need me!Kweni kuna Rais yupi atakuja ikulu na ikitokea akaugua aende kutibiwa uswazi??? Vitu vingine ni kujiongeza tu...hayo maisha ya watu kutibiwa kwa ugumu kama picha inavyoonyesha ni sehemu ya maisha kulingana na uwezo wao,kuna vitu hapa duniani haviwezi kubadilika hata kama utampeleka nani ikulu,tunajua kuna madudu yanaweza kuwepo kwa serikali na watu wake,lakini pia hata ingekua hakuna shida ktk uongozi bado uhalisia utabaki pale pale kila mtu na maisha yake,iwe ni masikini au tajili,kiongozi au raiya,ninachoamini maisha ya mtu ni maisha yake na mafanikio ya mtu ni juhudi zake...
Nakuunga mkono Mkuu, watu wafanye kazi kwa bidii wasitegemee miujiza katika maisha yao binafsi. Serikali italeta maendeleo ya jumla kama vile barabara za kumwezesha mtu kusafiri kutoka eneo moja kwenda lingine. Mambo ya matibabu yanatolewa kulinga na mfuko wa mtu. Ndio maana kutokana na bidii binafsi, wapo wenye uwezo wa kutibiwa Ulaya - Marekani au India. Na hata ndani ya Tanzania mtu mwenye uwezo kijijini anaenda kutibiwa Makao Makuu ya Kata, wa kwenye kata anaenda tarafani, hivyo hivyo - tarafani - wilayani = mkoani na Taifa (Muhimbili) ambako pia kuna private na kawaida. Aidha, kwa wakazi wa Dar es Salaam wapo wanaotibiwa Amana, Temeke au Mwananyamala, pia wapo wanoenda Muhimbili private na Kawaida, wengine wapo wanaoenda Hubert Kariuk, TMJ, Regency, Hindu Mandal au Burhan Hiyo hali lazima iwepo ili maisha yasonge mbele, hatuwezi kufanana wote katika maisha kwa maana ya kuwa na tabaka moja, hata uwezo na sehemu za kutibiwa nazo zinatofautina. Sasa hiyo Jamii ambayo watu wanaka kuijenga ambayo wote watakuwa sawa na kutibiwa Mwananyamala ni ndoto za mchana.
Kwa nini ni Africa tu?hao wazungu wamewezaje kufikia kuishi maisha waliyonayo wakati hawana ardhi kama yetu,hawana madini tuliyonayo, hawana mbuga za wanyama tulizonazo na zinazoingiza mabilioni ya shilingi,hawana hata milima km meru na kili,je!wao ndo binadamu sie wengine sokwe?kinachotushinda ni nn? Nini vipaumbele vya nchi?...I'll be back if U need me!
samahani mkuu, hivi unawaambia hao wamama kwenye picha au?fanyeni kazi kwa bidii na mafanikio mtayaona.
Ila nakumbuka sijawahi kuona Wakenya wakija kutibiwa kwetu ingawa sisi tunaenda huko.Vivyo hivyo, kwa India, US,Europe, China, nk. Nini cha ziada walichonacho ambacho tunaamini kamwe hatutaweza kuwa nacho?Halafu hapo anaongelewa Rais wa Nchi ambaye ndo kioo cha Taifa hili.Hatukatai yeye kutibiwa nje,naamini ni gharama ndogo sana endapo kutakuwa na NIA ya dhati kwa Serikali kuwakomboa wananchi wake.Watu kama ni kazi wanafanya sana,na kodi kwa ajili ya maendeleo zinalipwa sana, ni nini matunda yake?Naamini tukiweka ushabiki pembeni na kutafakari mustakabali wa nchi yetu,na serikali ikaelewa vipaumbele vya wananchi wake wanahitaji nini,ikawepo na Nia ya Kweli,na viongozi wetu wakaweka njaa zao pembeni,hali itakuwa tofauti.