Maisha bora kwa kila Mtanzania

Maisha bora kwa kila Mtanzania

Ushabiki mwingine unazidi huoni anachomaanisha mleta mada? oporesheni ya boss wako ilikuwa ndogo angefanyiwa hata hapa Tanzania ghalama alizotumia ni matumizi mabaya ya pesa za umma.

Umejuaje kuwa ni pesa za umma yeye hatafuti pesa au maskin hadi kufikiriaaa
 
Kwa nini ni Africa tu?hao wazungu wamewezaje kufikia kuishi maisha waliyonayo wakati hawana ardhi kama yetu,hawana madini tuliyonayo, hawana mbuga za wanyama tulizonazo na zinazoingiza mabilioni ya shilingi,hawana hata milima km meru na kili,je!wao ndo binadamu sie wengine sokwe?kinachotushinda ni nn? Nini vipaumbele vya nchi?...I'll be back if U need me!

Kwahiyooo umeona hvyo ndo vitaleta maendeleoo??? Ndo ujiulizeee maendeleo n mm na ww we ukibweteka kusubir serikaliii utakufa njaa ww
 
Ila nakumbuka sijawahi kuona Wakenya wakija kutibiwa kwetu ingawa sisi tunaenda huko.Vivyo hivyo, kwa India, US,Europe, China, nk. Nini cha ziada walichonacho ambacho tunaamini kamwe hatutaweza kuwa nacho?Halafu hapo anaongelewa Rais wa Nchi ambaye ndo kioo cha Taifa hili.Hatukatai yeye kutibiwa nje,naamini ni gharama ndogo sana endapo kutakuwa na NIA ya dhati kwa Serikali kuwakomboa wananchi wake.Watu kama ni kazi wanafanya sana,na kodi kwa ajili ya maendeleo zinalipwa sana, ni nini matunda yake?Naamini tukiweka ushabiki pembeni na kutafakari mustakabali wa nchi yetu,na serikali ikaelewa vipaumbele vya wananchi wake wanahitaji nini,ikawepo na Nia ya Kweli,na viongozi wetu wakaweka njaa zao pembeni,hali itakuwa tofauti.

Duuuuuuu upo milembe day nini???
 
Mtumeee!asante sana Riwa.Kiongozi wa nchi amethubutuje kuingia kwenye ulimbukeni mkubwa wa namna hii katika kipindi ambacho hakuna dawa kwa wananchi wake?The worst timing ever! Inanipa mawazo mazito yatakayoathiri maamuzi yangu kwenye chaguzi zijazo!

We athirika tuuuu....wenzio waingize pesa
 
Last edited by a moderator:
Ujinga kweli ni mzigo. Kwa hiyo hao akina mama hapo hawafanyi kazi kwa bidii ndio maana wanapata matibabu duni. Kwanini serikali isiboreshe hizo hospital ulizozitaja at least ziwe na nafuu wagonjwa wasilale kama wanyama zizini.Hivi ulishawah kuingia Sewahaji au Mwaisela pale Muhimbili ukaona hali halisi?! Hivi na hao wazungu wangetelekeza hospital zao unadhani hawa viongozi wetu wangetibiwa wapi. Mkuu hebu ficha upumbavu wako

We hospitali za kizungu umewahi zionaaa zoteeee???
 
Tatizo huko vijijini hawajui kutumia internett na wengi wao hawana smart phone au computers sasa inabidi tikienda kuwasalimia inabidi tuwa elimishe, tuwaonyeshe hizo mada na thread za humu na jinsi ya kutumia jamvi hili ili waweze kupata elimu na kujifunza jinsi watakavyo toa uamuzi wao wa kuwachagua viongozi wao ccm au chadema au nccr lakini wapate elimu

Unafikiria sana semaaa unachofikiria ni ndotoooo zisizo na malengooo....hata nenda kawa elimishee bila hela wenzio wakija na pesa kwisha habari
 
Kwahiyooo umeona hvyo ndo vitaleta maendeleoo??? Ndo ujiulizeee maendeleo n mm na ww we ukibweteka kusubir serikaliii utakufa njaa ww

Labda nikuulize nini maana ya Serikali,halafu nini wajibu wa Serikali.Pia nini Haki na Wajibu wa wananchi.Pia,Je!kwa sababu watu wanatakiwa wafanye Kazi,suala la kui monitor serikali linakuwa halikuhusu?inawezekana wewe si mlipa kodi km mimi ndiyo maana unakuwa na mtazamo kama huo.Kwa mtazamo wako tutegemee serikali isiyowajibika na nchi kuendelea kuwa maskini kupindukia!
 
Serikali ni pamoja na mm na wewe ndugu kikubwa tufanye kazi kwa bidii hawa jamaaa they will never change our life.....wanasemaga mbwa ukisha mjua jina hakupi shidaaa so kama tumejua tabia zao ya nn kuendelea kuwa ongelesha akati hata kilio chetu tuna cho lia hapa jamii forum hawakisiii
 
We athirika tuuuu....wenzio waingize pesa
Umedakia kwa haraka mno danya!Tukiathirika wengi halafu tukachukua
huo uamuzi nlotaja, hakuna wa kuingiza pesa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa keli hii inakera sana hawa viongozi wetu.....Hawataki kutumikia wananchi, wanaacha hospitali zinakufa, Shule zikifa coz wanajua wao wakiumwa watatibiwa nje ya nchi, Wanao watasoma nje ya nchi....Yaani ni Ubinafsi, ufisadi.... Hawana uchungu na Wananchi kabisa..... Halafu utaona viherehere siku za uchaguzi zikifika watakavyokuwa ....Ukiwauliza wao wakiumwa watapelekwa nje ama Mwananyamala...? Wanakenua tuu....mxuuuuuuuuuuuuuu

AjCqv4e4_K9T_YX65sAc4xm0mA_8rEIBji3rLHJin_1y.jpg
[/QUOTE]
 
Yaani me silipi kodi kabisaaa...... wanayofanikiwa kuikata direct ktk mshahara sawa ila ya biashara silipiiii

Serikali ni pamoja na mm na wewe ndugu kikubwa tufanye kazi kwa bidii hawa jamaaa they will never change our life.....wanasemaga mbwa ukisha mjua jina hakupi shidaaa so kama tumejua tabia zao ya nn kuendelea kuwa ongelesha akati hata kilio chetu tuna cho lia hapa jamii forum hawakisiii
 
Kuhusu maisha binafsi sawa wengi wapo wanapambana nayo, kinachohitajika ni wao kama viongozi waache kutafuna pesa, Watoe hela Kujenga Hospital, kuweka vifaa hitajika vyote, madawa, Kulipa mishahara mizuri kwa Doctors,

Vile vile kujenga shule na kuweka vifaa vya kutosha pia kulipa walimu mishahara mizuri

Mwisho ni Kurudisha viwanda, kufufua viwanda, kujenga viwanda.....ili ajira zipatikane...Haiwezekani hata toothpick tunanunua china...

South Africa ndugu unapopasema nimeishi na ninapajua,uchumi gani pale umeshikwa na mtu mweusi???nenda kajionee...hata hivyo nshakusoma na kukuelewa,nakutakia maisha mema,pambana kwa bidii,hakuna raisi atakuletea maisha bora nyumbani kwako zaidi ya wewe mwenyewe na nguvu kazi ya umoja,KWAHERI
 
Juhudi zake pekee kivipi? Sisi ndio tukajenge Hospitals na kununua madawa na kulipa bills za MSD?
au sisi ndio wakujenga shule, kununua vifaa vya shule?
Nnavyojua majukumu yetu ni sie kujitafutia Chakula, malazi na kujua kusomesha familia zetu.

Kazi ya serikali ni kuboresha huduma muhimu kwa jamii sababu Wananchi wanalipa kodi kila kukicha : Wafanyakazi Tunakatwa kodi, Wafanya biashara vile vile kodi, Kila tunachonunua kinakatwa kodi ie; Magari, sahani, kijiko, sukari etc., Kodi hizi zinaenda wapi hadi madawa yanakosekana mahospitalini?

Wakati wa Mwinyi na Nyerere ulikuwa ukisikia Mtoto kafaulu kwenda Shule ya Serikali unafurahi coz unajua mtoto anaenda shule nzuri, sasa hivi mtoto akifaulu na kupangikwa Shule ya Serikali unamhamisha kwa kuhofia Elimu mbovu atakayopata katika shule ambazo hazina vifaa vya maabara.

Tunakosa wataalamu wa Sayansi wazuri kwasababu ya msingi mbovu wa Elimu ya kwetu Tanzania...Unafundishwa Science lakini practicals huwezi sababu hujajifunza vya kutosha kutokana na uhaba wa vifaa vya Maabara.

Hata huko Marekani unakotaja, unathani hospitali anayotibiwa Barack Obama ndo hiyo hiyo anayotibiwa Mmarekani wa kawaida ? Lengo langu ni kukuonnyesha kwa hakuna siku watu wote katika dunia hii watakuwa na hadhi sawa, na hakuna Rais atayeingia madarakani akuletee maisha bora kwako wewe binafsi bali ni juhudi zako pekee.
 
Juhudi zake pekee kivipi? Sisi ndio tukajenge Hospitals na kununua madawa na kulipa bills za MSD?
au sisi ndio wakujenga shule, kununua vifaa vya shule?
Nnavyojua majukumu yetu ni sie kujitafutia Chakula, malazi na kujua kusomesha familia zetu.

Kazi ya serikali ni kuboresha huduma muhimu kwa jamii sababu Wananchi wanalipa kodi kila kukicha : Wafanyakazi Tunakatwa kodi, Wafanya biashara vile vile kodi, Kila tunachonunua kinakatwa kodi ie; Magari, sahani, kijiko, sukari etc., Kodi hizi zinaenda wapi hadi madawa yanakosekana mahospitalini?

Wakati wa Mwinyi na Nyerere ulikuwa ukisikia Mtoto kafaulu kwenda Shule ya Serikali unafurahi coz unajua mtoto anaenda shule nzuri, sasa hivi mtoto akifaulu na kupangikwa Shule ya Serikali unamhamisha kwa kuhofia Elimu mbovu atakayopata katika shule ambazo hazina vifaa vya maabara.

Tunakosa wataalamu wa Sayansi wazuri kwasababu ya msingi mbovu wa Elimu ya kwetu Tanzania...Unafundishwa Science lakini practicals huwezi sababu hujajifunza vya kutosha kutokana na uhaba wa vifaa vya Maabara.

O.k. Nimekusoma, yote hayo ni kweli. Sasa unafanya nini wewe binafsi kubadilisha changamoto hizo ambazo umezitaja. Hicho utakachokifanya wewe binafsi ili kubadili hizo changamoto ndio "Juhudi Binafsi" ninazosema na sio kuongea kwenye majkukwaa na kwenye key board. Tayari umeishaona kuwa hawa jamaa hawana nia nzuri na maisha yetu, nini kifanyike ?
 
Back
Top Bottom